Kitu ambacho C.C.M na watu wao hawafahamu ni kwamba, kwa sasa waTanzania wanachotaka ni mabadiliko tuu, haijalishi ninani ambaye atayaleta, kwaiyo hata kama ni Membe au Wassira angekuwa UKAWA, angeshinda tuu kwasababu watanzania wanachotaka ni kuweka serikali nyingine madarakani, haijalishi ni...