Hivi viti inabidi vipewe namba kama kwenye basi, ukikata ticket inakuwa na namba na unatakiwa kukaa kwenye kiti chako na pia unapoenda kukata ticket lazima uende na kitambulisho ili zijazwe taarifa muhimu. Hapa isingekuwa shida kuwapata kwani wangeangalia tu ni kiti namba ngapi kimevunjwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.