Ni taarifa ya kusikitisha kwa wapenda maendeleo, lakini pia ni funzo kwa watawala wetu sababu viongozi wengi wameshindwa kutumiza majukumu yao zaidi ya kusimamia kutumbua majipu na vipele na kuyafumbia macho masuala ya msingi kama haya kwa ustawi wa Taifa letu.
Je mkurugenzi anafanya nini?Afisa...
Kwa niaba ya Viongozi Taifa,
Tunalichikuwa mawazo yako kama changamoto kwetu, lakini pia
NIWAHAKIKISHIE WALIMU TANZANIA KUWA CHAMA KIMEJIPANGA KUWATETEA NA KUISIMAMIA SERIKALI HASA PALE INAPO KIUKA SHERIA ZA UTUMISHI WA UMMA.
NA CHAMA TAYALI KIMEPELEKA HOJA ZAKE SERIKALINI NA MAJIBU...
Chama cha wafanyakazi kipo kwa mujibu wa sheria za utumishi wa umma na kanuni zake, kisheria vinajulikana kama Trade Union, na ndani ta sector moja ni ruksa kuwa na chama zaidi ya kimoja ili mradi kimesajiliwa na kinatambuliwa kisheria, mfano; kenya kuna vyama vya walimu zaidi ya kimoja...
wilaya tuna ngazi ya mwenyekiti , na msaidizi, katibu na msaidizi. Ila pia kuna taratibu chama kinafuata ili kupata viongozi ikiwa ni kukwepa mamluki hasa kutoka CWT. Cha msingi Taja halmashauri yako na mkoa then Mratibu mkoa au katibu Taifa akijiridhisha nawe utateuliwa.Ila kwa asilimia kubwa...
sawa, nitaku
Sawa mkuu, nitakutumia mfano wa barua ya kujitoa na form ya kujaza na mahara pa kuzipeleka, kama uko halmashauri ambako chama kipo active (maana bado hatujafika maeneo yote, japo tunasambaa kwa kasi) ni kiongozi wa chama atakuongoza zaidi.
Tupo tunaandaa list ya majina ya Viongozi wetu kwa maeneo tuliyofika na mawasiliano, soon tuta upload mkuu, ili iwe rahisi kuwasiliana na kiongozi uhusika wa mkoa au halmashauri yako.Asante sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.