Recent content by chaka wa chaka

  1. C

    JamiiForums Tanzania hongera riziki maghembe~muheza

    pamoja na kuahirishwa kutokana na kifo cha ngombea lkn kwa ngazi ya bavicha uchaguzi ulikamilika kabla ya habr ya kifo na kamanda tishio Maghembe kuwa m/kit mpya Wa bavicha muheza. camanda huyu amejitoa sana ktk ujenzi Wa chama na leo hii ukizungumzia chadema muheza basi jina la riziki Maghembe...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    ndg wanajukwaa naskitishwa na baadha ya watu na wengine Wa karibu kabisa wanasema et Ephraim kibonde kuwekwa lockup baada ya kusababisha ajali na makosa mengine ya kitrafiki ni fundisho kwake tena akome kabisa. swali : kwani shida hasa ya huyu mtangazaji ni nini mpaka baadhi ya watu kufurahia...
  3. C

    JamiiForums Tanzania SAUT acheni kuumiza wanafunzi wenu kwa pass mark

    SUA mnameza simbi/desa tuu hamna lolote
  4. C

    JamiiForums Tanzania kwa njaa hii msomi lazima atumike tu.

    Jana nilipita mtaa flani hapa dar nikakuta makahaba wakijiuza nikashindwa kuwatofautisha na wadada zangu vyuoni jinsi walivyovaa. sasa bodi imegoma mpaka Leo msomi mdada kutumika na bodaboda kwa chips jioni na chai monie na pasi ndefu mchana inashindkana? kwa masela kutumika kisiasa acha mbali...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Chadema muheza hongereni kwa ubunifu kuntu

    safi sana ccm muheza 2015 kwishaa...sasa chama kina makamanda Wa uhakika wenye uwezo na baada ya uchaguzi wa ndani tunaingia mzigoni mpaka kieleweke!
  6. C

    JamiiForums Tanzania Karibuni Muheza makamanda wote Tanzania

    mana wanachofikiria ni kuanzisha vurugu pale chadema inapostawi ili cdm ionekane chama ya vurugu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Karibuni Muheza makamanda wote Tanzania

    baada ya kamanda riziki Maghembe kuonyesha jinsi chadema inavyokua muheza najua ccm mmechukia sana..ukweli ni kwamba jimbo la muheza linarudi kwa wananchi sasa baada ya miaka mingi ya utumwa ya mbunge kilaza Wa sasa mtangi. mtangi uliahidi maji muheza mpaka Leo huonekani watu...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Karibuni Muheza makamanda wote Tanzania

    pamoja kamanda Maghembe..harakat zako ni njema ktk chadema ni msingi
  9. C

    JamiiForums Tanzania GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    ukawa waungane wakaongee na lowasa coz he can stand as presd of both parties
Back
Top Bottom