Katibu mkuu anamkaribsisha mhe.rais anapanda jukwaani sasa msondo wanatumbwiza mhe rais naongea na wananchi mhe.rais anamchukuru waziri wa ujenzi kwa kumialika kwenye shughuli hii
Sasa kapanda jukwaani Katibu mkuu wa wizara ya ujenzi Eng. Mussa Iyombe anatoa hotuba yake kwa mhe.rais kwa niaba ya waziri wa Ujenzi mhe.magufuli ambae leo anahudhuru
Mkuu wa mkoa anamaliza kwa kushukuru japana kupitia jica kwa kazi nzuri na wasichoke.mkuu wa mkoa anaomba wale wote wanaharibu miundombinu ya barabara kuacha mara moja Kuwait huu Si uungwana kabisa katolea. Mfano barabara ya drt
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.