Recent content by chaijaba

  1. chaijaba

    Marufuku mbunge kuzomea au kutoka bungeni bila ridhaa ya waliompigia kura

    mtoa maada hujielewi mwsho utasema wasiende choon coz hatujawatuma kufanya hvyo
  2. chaijaba

    Naomba kujua alipo Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Tluway Sumaye

    cmpaign mnger alikuwa John mrema
  3. chaijaba

    Mwakalebela leo katuma sms kwa kila mwana Iringa, alipataje namba zetu?

    Strange mbona ambao hawajajiandikisha hawajatumiwa kuna jambo hapa
  4. chaijaba

    Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    Mi ngoja nkalale kwenye gari ntarud kesho jamvin
  5. chaijaba

    Tume ya uchaguzi NEC imeuza taarifa za wapiga kura kwa mgombea wa CCM!

    Ushasema ww na mkeo huko nyuma hamkuwa mkiishi hapo ina maana sasa....?
  6. chaijaba

    Tume ya uchaguzi NEC imeuza taarifa za wapiga kura kwa mgombea wa CCM!

    Kaka huyo mgombea hata kama hajazpata push mobile anaweza akawa na mtu kwenye mitandao ya simu akamsaidia... Punguza sugar hyo c msg ya kawaida tu
  7. chaijaba

    Tume ya uchaguzi NEC imeuza taarifa za wapiga kura kwa mgombea wa CCM!

    Mbona mtoa mada unacomplicate, push mobile wanachofanya wanaangalia namba ambazo znazosoma kwenye minara yote ya makongo na kawe kiujumla wakati wa peak hours, so zile znazosoma frequently zinaashilia we ni mkaz wa hapo
  8. chaijaba

    Jaji Lubuva amenena tena,kazi imebaki kwa mawakala wa vyama

    Hyo system yao ndo itakuwa issue ma if statement ya kuchakachua kibao, so ukawa wanatakiwa wawe na wataalamu wazur wataoweza kuitest
  9. chaijaba

    Lowassa: Mkinichagua 25 Oktoba, Jumatatu inayofuata Ferry itakuwa bure bila nauli

    Inawezekana coz kivuko kitaoperate mda mfupi kabla ya kupata daraja
  10. chaijaba

    UKAWA Hawajiamini Na Hawana Makubaliano Ya Uhakika..

    Kwani we ulitakaje?
  11. chaijaba

    Kinachojiri kutoka Millenium Tower DSM, Kutangazwa mgombea Urais wa UKAWA

    Lowassa anaingia NLD na kugombania kupitia UKAWA kusawazsha mvutana wa babu na prof
  12. chaijaba

    Lowassa amponza Balozi Amina Salum Ali

    Kwani Migiro ni mzanzibar Munguwatosha
  13. chaijaba

    Kuna maana yeyote kubadili jina kwa mwanamke??

    Haya mambo wazee wetu wala walikuwa hawahoji ila hzi stor za 50 50 ndo zimeanza kuleta doubt hzi
  14. chaijaba

    Wako wapi waliodai Tume ya Katiba haina weledi na wala si huru!??

    Yani huyu jamaa huwa namshangaa huwa anaongea kama ye ndo chama pinzani mfano ajenda ya majimbo ya CDM ni mradi wa wakubwa maneno kama hayo yalitakiwa yatajwe na chama pinzani anaongea kana kwamba CDM wameshachukua nchi na kuanzsha mfumo huo.... huyu jamaa alipaswa kuwa baloz wa nyumba kumi sio...
Back
Top Bottom