Although dawa ni ile ile lakini concentration ni tofauti ndo maana utaona na bei ni tofauti nilishawah kupewa dawa Mwananyamala nioawa natumia lkn sipati unafuu nikaenda Aga Khan nikapewa dawa hiyhiyo ila kiwanda kingine then nikamuuliza Dr
inakuwaje akaniambia tatizo ni ile nguvu ya dawa...
Mwananyamala, sayansi hii ni wiki ya nne hawaonekani, ule mkakati wa Bashite sijui uliishia wapi hakuna mission hata moja ya kwake inayokuwa accomplished sijui kwa nn
Kwa hiyo kama anamakosa matraffic wanaruhusiwa kumshushia kipigo , tatizo hawa jamaa wakivaaaga hivo vi sare zao wanajionaaaaaga kweli kweli utadhan wameshukatoka Sayar nyingine, wanasahau na wao no watanzania kama sisi tens choka mbayaaaa kuliko sisi,
Huwa nawashangaa sana wanashindwaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.