Recent content by Chagulani Adams

  1. C

    Akili Ndogo Kushindana na Akili Kubwa: Ona CV ya Mbunge Lema na CV ya Zitto!!

    ጨዠደገገጀበቸተገጀጀጀጀአጨጠጨጰፐለከጀመነበቨቸሸ namaanisha ya kwamba elilimu ni muhimu katika uongozi karne ya leo ,elimu dunia na elimu...
  2. C

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    hilo nalo litapita ukweli utasisimama daima ni kawaida mtu akizidiwa kwa hoja na mwenzie usingizia mwenzie ni msaliti anatumiwa na ccm ,na ikiwa ni ndani ya ccm utasikia huyo ni mpinzani angalia Fulikunjombe,kange Lugoba kwa mwendo huu athari za ccm ni kubwa katika mfumu huo tutafika kwa staili...
  3. C

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    ukiona wanachama wamekuja huku mitandaoni ujue mawazo yao yamepuuzwa kitambo na kuwekwa chini ya kapeti wanaona.liwalo na liwe huko tuendako tutawaona kina mwigamba wenye walionyimwa fursa vikaoni wakakimbilia kwenye nguvu ya umma kuweka wazi uozo wa watawala maana hat Wao wanaijua ngyvu ya umma
  4. C

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Ni dhahiri kuwa wabunge wengi wa cdm walipinga posho kimkumbo,walikopa fedha kwenye mabenki wanaishi kwa posho za vikao ,hata kipindi cha mchakato wa kupinga wengine walikuwa wananungunikia chinichini lema kaona bora kijilipua kuliko kuendelea kuumia kimyakimya na usononi ,hoja ya posho haikuwa...
  5. C

    Viongozi wa CHADEMA kutoa majibu ya UONGO dhidi ya hoja za kweli za Mwigamba ni kwa faida ya nani?

    haka kagazeti ka tanzania daima kamejaa unazi na ushabiki,na unafiki uchonganishi mkubwa habari za kuungaunga pia huyo katibu wa mkoa suala la kujengewa nyumba sokoni one na kusema ukweli kunahusiana nini?na alichokisema ipo siku kila jambo litadhihirika huko tuendako,ubabe huu wa kutokufuta...
  6. C

    Ufisadi wa kutisha jiji la Mwanza,mbunge wa CHADEMA ndiye hatari zaidi

    ni vema watu wakaelewa haya yote yamejulikana baada ya kupanguliwa safu nzima ya viongozi wa jiji kwa maana ya watendaji na kuondolewa kwa meya manyerere kwa wote ambao wangeyazuia yasionekane hawapo leo taarifa hii iliombwa na kamati ya fedha na uongozi kipindi cha kupokea taarifa ya mwaka...
  7. C

    Adam Chagulani usifikiri tulikuchagua kwa kukupenda wewe ila ulibebwa na chama (CHADEMA)

    . Ni kuombe ujiandaa kugombea wewe na hao waliomaliza shule sijui walikuwa wapi? Siku zote hizo leo wanajifanya wajuaji kati yangu mimi na wewe sijui nani anaupeo mdogo maana hata ID unayotumia ni feki,Simba mzee huwezi kumlinganisha na fisi kijana ,wanaigoma wapi? Unaowasema wewe hawanikubali...
  8. C

    Adam Chagulani usifikiri tulikuchagua kwa kukupenda wewe ila ulibebwa na chama (CHADEMA)

    Kuna wazushi wa kupika majungu na kuaminisha watu uongo mtamu na kauli vifuniko bila kuzingatia uhalisia wa mambo na ulivyo wake. Nzagabulu ameeandika uzushi kuwa wana Igoma walichagua Chadema kama hivyo ndivyo anijibu swali langu kama walichagua chama kwanini kwenye kata zingine hawakuchagua...
  9. C

    CHADEMA Ianzishe mabadiliko ya Ndani, Vinginevyo kuiondoa CCM 2015 ni ndoto - Sehemu ya 1

    Mwanakijiji ushauri wako ni mzuri sana na wakujenga tukitanguliza maslahi ya jamii mbele tukaufanyia kazi Chadema itasonga mbele ila ninachokiona leo nikuwa kiburi walichokuwa nacho CCM cha kupendwa na kushabikiwa kimehamia kwa CDM kwa kuona kuwa tunashabikiwa na kushangiliwa tumeanza kuzarau...
  10. C

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    Kupingana Juliana na mwenyekiti sioni kosa alitoa mawazo yake Kama heche alivyofanya maana ingawa wote walitoa maoni Yao na si ya kikao hii ndiyo Tania ya chadema tunaendesha na matamko zaidi kulikoni katiba ya Chama hii ndiyo changamoto ya kiongozi ,shibuda kutangaza nia yake siono ubaya wowote...
  11. C

    Should CHADEMA Fire Zitto?

    Hivi siasa za aina hii zitaishia wapi nimebaini Kuwa sisis kwa sisi hatutakiani mema tunagombea fito wakati tunajenga nyumba moja tambueni Kuwa hakuna mwanachadema aliyebora zaidi ya mwenzie kila mmoja wetu Ana Watu wanaomwamini hata Kama ni mjinga kiasi gani au hatumpendi kiasi...
Back
Top Bottom