Ndugu zangu, niliyoyaona usiku wa leo yamenipa wasiwasi na hofu, nimeona nisikae kimya niwaambie na nyinyi, huenda kuna baadhi hapa mpo vizuri kwenye mambo ya ulimwengu ule usioonekana.
Ndoto ya kwanza niliona kundi kubwa la watu wakiwa na viongozi wa juu kabisa wakiongea na kundi hilo mara...