Recent content by chaguamagufuli2015

  1. C

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    Mwinyi ndio chaguo letu la uhakika, tuna imani nae atatuletea mabadiliko chanya ✅
  2. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais ni taasisi na cheo cha hadhi kubwa sana, hatuwezi kukigawa kwa huruma wala kwa muongo

    Uraisi atauskia bombani ! Tunachokitaka ni sera zinazoeleweka! Ni raisi gani kwanza alikua anaponda lugha mama ya taifa? Lissu hatufai kiufupi ... asitegemee kura zetu kama advantage ya kupigwa risasi
  3. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais ni taasisi na cheo cha hadhi kubwa sana, hatuwezi kukigawa kwa huruma wala kwa muongo

    Ubaya wake anatumika vibaya ... alikadhalika lisubana kundi la watu kubwa nyuma hii inadhihirisha baada ya madaraka lazma atatumika kulipa fadhila ... hatukotayar kukabizi nchi kwa mtu baki ... tunajua nini tunataka.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Katika Sekta ya Kilimo, ufugaji na Uvuvi kwa Miaka mitano iliyopita Serikali imechukua hatua mbalimbali ikiwemo kufuta Tozo 114 kwa Wakulima, Wafugaji na Wavuvi. Katika kipindi kijacho Serikali imejipanga kutengeneza machinjio ya kisasa, kuendeleza na kujenga Maghala ya kuhifadhi na Vituo vya...
  5. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais CCM adhibitiwe kuhusu suala la matumizi ya lugha ya Kisukuma. Mwongozo wa lugha wanaounadi TBC ufuatwe

    sio kila jambo lazima lichukuliwe serious sometime Katija maisha utans huwepo ...tujaribu kuangalia na mambo ya muhimu sidhani hotuba zake zote umeskia kilugha tu! tujaribu na kukusanya yale yalio ya msingingi sio kila jambo lazima lie na mtazamo chassi. "NEGATIVITY"
  6. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa na UKAWA wamesahau kuwa SIASA NI SAYANSI

    pita pita zangu nimeshakaa na watu wengi wenye busara zao, nikijaribu kuwahoji juu ya uchaguzi majibu mengi ni magufuli, haswa wanafunzi wa chuo, nilifarijika saana maana pia nilijaribu kuwahoji kwanini sio mamvi, majibu niliyopewa kwanza, wamekubali ,magufuli ni mchapakazi, pili wanatazama...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa na UKAWA wamesahau kuwa SIASA NI SAYANSI

    hivi wanavyosombwa wakiwa na maroli hauoni????
  8. C

    JamiiForums Tanzania Pigo la UKAWA linalofuata ni kujiondoa rasmi CUF

    hahahahah maskini wakiwa kila kukicha migogoro, mjipange upya awamu nyingine msikurupuke na kupaniki ovyo
  9. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi

    ni wapi kazidi mipaka ndugu yangu?? au kwa vile mmezoea kulaumu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel na Ray wazungumzia kurudi kwao CCM - Live on Clouds TV

    hahaha baada ya kuhama ukawa hawana impact, ila wakati wanakuja kwenye mikutano, mlikua mnakenua kama nini!
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wananchi tumeshaamua kumchagua Magufuli .. Ukawa nao wawe wabunifu

    hhahahahaha wagonjwa hawaingii ikulu, hapa magufuli, kazi basi , case closed :pray2:
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    hahahhahahaha jamaaa kauza alafu kaishia hatar poor wakiwa
  13. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli apiga kambi Morogoro kusimamia ujenzi daraja la Dumila lililosombwa na maji!

    nakuunga mkono kwa hili uko sahihi :A S 41::A S 41::A S 41:
  14. C

    JamiiForums Tanzania Watanzania sio wajinga; tumekusikia, tumetafakari na tumeamua Magufuli ndio ajaye

    tumeshafikiri, tumechuja, tumechunguza, rais wetu ni magufuli basi, watanzania sio wote wajinga hatukoteyari kushawishiwa na wapumbavu wachache wasiojua nini wanataka, wanajifanya wanataka mabadiliko mabadiliko unayapopataia ni salama, ??? hapa rais ni magufuli tu, mchezo umekwisha mkajipange...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    aliyoyasema sasa tunayaona yote, dahh,..... sijui watanzania tunaeleka wapi, hatujali maisha tunajali kutoa chama cha mapinduz!
Back
Top Bottom