Recent content by Chagu wa Malunde

  1. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Taifa letu lina mpasuko mkubwa sana. Vipi kuhusu wale wanaokula keki ya taifa kwa mrija wanajisikia vipi?

    Kwa kila namna taifa limepasuka. Matajiri na wenye mali ndio wanaofaidi taifa hili. Watoto wa masikini wanauza mahindi ya kuchoma na karanga ili waende shule. Watoto wa matajiri na wanasiasa matajiri wanasoma shule zinazoitwa za njano. Siasa za taifa letu zimegubikwa na rushwa , upendeleo na...
  2. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Thadei Kweka aachiwa huru

    Jaduong upo sala Mwanza? Mitu ya kiricho.
  3. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Nolstagia: Maisha ya Mwanza hapo zamani yalikuwa yamejaa upendo na umoja mkubwa. Sio kama leo hii

    Nakukatalia. Uchaguzi uliofuata 1995 alipita Yunge Mwanannsali
  4. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Nolstagia: Maisha ya Mwanza hapo zamani yalikuwa yamejaa upendo na umoja mkubwa. Sio kama leo hii

    Yunge Mwanansali bila kukosea. Ulikuwa uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi hakudumu maana alikuwa hachangii chochote bungeni.
  5. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Nolstagia: Maisha ya Mwanza hapo zamani yalikuwa yamejaa upendo na umoja mkubwa. Sio kama leo hii

    Zamani watu waliokuwa wanaishi Mwanza walikuwa na hali ya amani na upendo wa juu. Watu wa maeneo ya Mwanza ya zamani walikuwa wakifahamiana karibu kila mmoja. Mfano vijana wa kirumba ,kitangiri na Nyamanoro walifahamiana na walikuwa wanajuana kwa kila namna. Iwe kwenye michezo, misiba na hata...
  6. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Nchi haiwezi kukombolewa na watu wajinga!

    Jaduong upo?
  7. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Nchi haiwezi kukombolewa na watu wajinga!

    Mh matusi gani tena haya. ? Ndio maana nilishaamua kukaa kimya.
  8. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyepinga Rais Samia kupitishwa Mgombea pekee wa Urais kupitia CCM afukuzwa uanachama

    Bwana mdogo utagombea ubunge tena?
  9. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia. Tanzania ya 10 bora kwa uchumi imara

    Chadema msipinge
  10. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa India na CCM wazidi kuimarika. CCM kushinda uchaguzi mkuu 2025 kwa kuimarisha diplomasia .

  11. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Lema: Nimeisikiliza hotuba ya Rais mara tano, Nitarudi na majibu baada ya tamko la Chama

    Upo sawa. Mbona kimya sana? Kwani Mbatia anasemaje?
Back
Top Bottom