Recent content by chagga boyyy

  1. chagga boyyy

    Vitunguu maji vinakomaa kwa muda gani?

    watuwengi wasikutishe mana kupanga jambo na kutekeleza jambo ni vi2 vi2 tofaut so wanamipango weng ila watakao fanikisha wachache ndugu
  2. chagga boyyy

    Jinsi ya kutengeneza Incubator isiyotumia Umeme

    hongera sana tena naona umeangulisha kanga da! saf sana
  3. chagga boyyy

    Mayai ya kroila au mbegu ya Izraeli yanahitajika

    hyo ni mbegu ya izrael ndio natafuta mayai yake mwenye nayo
  4. chagga boyyy

    Uthibitisho wa Tiba ya Gumboro

    hahaha ujilal hatami wakat natoka dar nilikua nahs naenda mbali na cdhan kama nitaweza ishi nje ya dar ila kwasasa nimepakubal na nafanya vitu hatar so ucogope life popote kikubwa kujitambua na tr7 nitakua dar anaeitaj mayai ya kanga yaliona uhakika wa kupata vifaranga tuwasiliane 0717209059
  5. chagga boyyy

    Uthibitisho wa Tiba ya Gumboro

    nipo mswa mkoani simiyu karibu
  6. chagga boyyy

    Uthibitisho wa Tiba ya Gumboro

    karibun tujukwamue kutoka ktk umaskin
  7. chagga boyyy

    Mayai ya kanga

    hahaha asante mwambie dada asisahau nyumban
  8. chagga boyyy

    Mayai ya kanga

    karibun tufuge
  9. chagga boyyy

    Mayai ya kanga

  10. chagga boyyy

    Mayai ya kanga

    nampango wa kuzalisha kwa wingi mwez wa3 kisha wa4 Kuangalia soko wengi wanawapenda ila kuwakuza hawawez so ngoja niwakuzie
  11. chagga boyyy

    Mayai ya kanga

    huwa nauza efu3 had4 akakaa wik ila kwa sasa ninaoda ndefu kwa mwez wa2 wote
  12. chagga boyyy

    Mayai ya kanga

    wala si nyara ya serikal cjawai bishiwa hata hod na mtu na wanalia balaaa
  13. chagga boyyy

    Mayai ya kanga

    watu husema kanga hawatag ndan had porin ila sidhan mana mm wanataga ndani najion nawaachia na wanarud bandan
  14. chagga boyyy

    Mayai ya kanga

    ni mashine2 ila sipo dar bt kwa anaye itaj mayai naweza mletea tar7 naja dar
Back
Top Bottom