Inakuaje kwamba Nyaga hawezi muachia wakati hawako pamoja kwa miaka mingi na yule Moza anabwana wake na anaendelea tu na maisha yake?
Huyo Irene nimeshasikia stori zake nyingi, naskia bi dada alikua amedata kweli lakini Nyaga hakua na mdanae. Kila kukicha alikua anmuwinda Nyaga pale ofisini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.