"UBABE SIO DILI" Jamaa alinunua soda,kabla ya kuinywa,akaitazama kwa zaid ya dk 20.Mara akaja Baunsa akaichukua ile soda na kuinywa. Jamaa akanza kulia, Baunsa akamwambia usilie nitakulipa. Jamaa akajib hilo sio tatizo.Leo mi nina mikos tu, asubuh nimefukuzwa kazi,natoka nje ya ofis,gari langu...