Nani kabakwa nanyan?

Nani kabakwa nanyan?

Status
Not open for further replies.
Huku ni kukurupuka au? Kwa hiyo ulichoandika kina maana gani? Kwa nini usiende kuandika facebook? Kha!
 
Mmmh majanga!huyu alieandika hii thread atakuwa yupo shule ya msingi tena darasa la kwanza
 
Aisee huyu dogo anatumia mwandiko wa aina gani?mbona sielewi ni lugha gani anayotumia?
 
toto kama hili miaka 20 ijayo likimuona mwenzake yuko ndani ya vx la serikali litasema eti ni fisadi,acha ale matunda yake tatizo la wanawake kulewa na kuvuta bangi wakiwa wajawazito ndio kuzaa mitoto kama hii then tunawasingizia walimu,
 
Love ismail andika basi vizuri lol mie nimeshindwaa hata kusomaaa aaaarrrggghhhh
 
Mi nimeelewa thread inahusu nyani, nashawishika kuamini kuwa Nyani ndio kaandika! Hivi hakuna button ya unlike au Hate (yenye kidole chini) humu JF?
 
siku nyingine umwambie asiwe anaingia chumbani kwake bila kujua kuwa ni chumbani kwake!
halafu mwambie pia haitwi dogo.
sawa eeenh!
hahahahahahaha aisee naipenda jf
 
Tumemlaumu bure Mgimwa kwa kuleta div 5... Ila kama kuna ufala kama huu wa kuandika pumba, pindi nikiwa waziri wa elimu i should introduce div. six and seven. Mtu anaeandika pumba kias hiki asipewe hata div 5 haimfai.........
 
habar zen jamani?
bilakupoteza kupoteza heruf zabure tuelekekwenye topc nan kabakwa na nyan?

kunakijj kimoja hukokondoa hukondanindan kwenyehichokijiji kunahuyo bb ambayeanatawala hichokijj huwez kukaazaid yacku3 jamahujamuona bbhuyo kumajamamoja kwajina zanyigwe alikuwa na rafikiyake hamud na wanawake wawil aisha & maimuna
zanyigwe aliwaambia maraf zake twenden mkapafaham kwet nafaham kwen wote ndawazaz wenu cbayamkawajua wazaizi wangu
kamakawaida marafiki walioshibana husikilizana kauli bac walienda lakin zanyigwe hakuwafahamisha marafikizake kuwahicho kijj kikoje safar ikapangwa haooo mpakakwenye hichokijj walipofika walipokelewa kwafurahana familia ya zanyigwe walilackya1 ck3 wakambiwa twenden kwa bb 2kawatambulishemarafikizake wakauliza bbyako badomzima jamahakuwajib ki2
hawakuenda zanyingwe hatak anaonaaibu kijj chaokilivyo
ilipofika ck5 wakiwa wamelala kwenye nyumba walikaribishiwa hamud alisikiakishindo chaajabu nakuamka kwasababusimwenyejialimuamsha zanyigwe alipoamka akamficha akamwambia we lala

Mulugo product original.
 
jaman sinimewaambia sio mm ilakunamtukaandika nilipomuachia cm yangu najua kosalangu kumuachia cm hukumlango ukiwawaz nielewen bac
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom