Recent content by chachadr

  1. chachadr

    TANZIA Salum Shamte wa Katani Ltd afariki dunia

    Nakubaliana nawe asilimia 100%. Mtu akifanya mema duniani lazima isemwe hata pale afarikipo. Kama alitenda maovu vile vile asemwe. Akiwa hai au akiwa amekufa! Ukweli ni ukweli tu muda wote!
  2. chachadr

    Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

    Yote yawezekana kwa Mungu. Naamini kwa sababu Dada Rose Muhando kamkimbilia Mungu amesalimika. Maisha yake kipindi hiki na kijacho yatakuwa bora zaidi ya vipindi vyote vilivyopita! Hayo ni Maandiko yamesema hivyo. Wale wanombeza, walitaka amkimbilie nani?! Mungu anataka tumwendee jinsi tulivyo...
Back
Top Bottom