Recent content by Chachada

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Rais Magufuli kila akihutubia anapenda kutukemea na kutoa amri na vitisho?

    Wenyewe wanaogopa kumshauri. Si unajua ukitoa ushauri kinyume kazi kwisha hapo hapo
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anyimwa dhamana, kufikishwa mahakamani Kesho

    Tupia hiyo hotuba pls
  3. C

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama: Wizara zote zatakiwa Dodoma kabla ya Feb. 28

    Kweli Mama Jenister bwana wake alifia Peramiho hosp miaka kama sita au saba iliyopita. Assured. Well, kwa unafiki hajambo, ukifanya nae kazi akiona ameshamaliza alichikiitaji huwa hapendi ushahidi. Anakulipua na yeye kusonga mbele.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Zitto: Angalieni hali ya Wanafunzi, jirani yao Chato inajengwa Airport ya zaidi ya Tshs Bilioni 50

    Pambanua issue ya airport vs wanafunzi kwa mawe
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais hii sio sawa na sio utu

    Nurse yupo kwenye simu na hawara
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais hii sio sawa na sio utu

    Unaishi uarabuni au marekani?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ifunguliwe kesi ya kikatiba kuzuia Kabudi na Bulembo wasiapishwe mpaka mahakama itoe tafsiri?

    Mbona upo nje ya mada, au ulijua upo facebook
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ifunguliwe kesi ya kikatiba kuzuia Kabudi na Bulembo wasiapishwe mpaka mahakama itoe tafsiri?

    Hiyo ya uwiano wa watano kwa watano inahitaji kusoma sheria? Au kujua jinsia ya mtu mpaka avue nguo
  9. C

    JamiiForums Tanzania Siri ya uhakiki wa watumishi hewa yabainika, serikali yashindwa kubaini wenye vyeti feki

    Haujafeli kila kitu jamani. Hamuoni, bombardia hewani, huoni vyakula vikisambazwa(japo walikana hakuna njaa) huoni wapinzani wakishugulikiwa kama majangili, huoni bunge likiwa chini ya Rais, huoni majipu yakitumbuliwa bila chumba cha upasuaji, mhhhh! Huoni maagizo ya ikulu yakiwa ndo chachu ya...
  10. C

  11. C

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya serikali kusambaza tani milioni 1.5 za chakula?

    Ndo hatari ya mzee wa kaya kuongea bila kushirikisha wataalamu wake. He knows everything
  12. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Charles Tizeba Live ndani ya 360 kuelezea uwepo wa chakula nchini

    Ninachojifunza hapa ni kwamba wateuliwa wa Rais wanafanya kazi kwa uoga bila kutumia akili zao rather wapo kwa remote control ya bwana mkubwa. Upinzani wakisema kuna tatizo lolote, lazima serikali ipinge ila as days go wanaanza kulifanyia kazi. Upinzani kusema kuna njaa nchini haraka serikali...
Back
Top Bottom