Recent content by CHACHA6

  1. CHACHA6

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mkopo naona ipo serious

    Tatizo hawa jamaa wa bodi ukiwapigia cm hawapokei asee yaani Noma sana
  2. CHACHA6

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mkopo naona ipo serious

    Wana jamvi naomba msaada mm nimesahau password ya olas sasa hiyo dodoso najaza vipi ama naweza kuzipata ivyo password mwenye uelewa pls I need help for that
  3. CHACHA6

    JamiiForums Tanzania Kwa waliochaguliwa College of African wildlife management, Mweka tukutane hapa

    Mmh braza unakuja kusoma kutafuta mademu duh
  4. CHACHA6

    JamiiForums Tanzania Bachelor of science in biology

    Anaweza pia kufanya kazi hata kwenye hifadhi as ecologists kama atapa nafasi maana hapo anasoma kuanzi macro hadi micro organism Na Pia nilikuwa n.a. vijana kutoka UDOM wanaosoma hiyo course lake manyara national park walikuwa wanafanya field idara ya ecologia even if hawako deep ila wanakuwa...
  5. CHACHA6

    JamiiForums Tanzania Kama hukusoma shule hizi kongwe, wewe ni mmoja wa vilaza mliopo hai

    Nimepita Olevel bwiru boys n.a. A level Tarime secondary
  6. CHACHA6

    JamiiForums Tanzania Serikali angalieni huu utofauti wa ada za vyuo vikuu hasa vya serikali

    Hilo nalo tatizo kubwa sana kwa mfano SUA wanatoa Bsc. in wildlife management na ada yake milion moja kama na laki mbili ivi lakini course hiyohiyo inatolewa MWEKA ada yake ni million 4 na laki 4 yaani nashindwa hata kuelewa na vyou vyote ni serikali hapo utata sana.
  7. CHACHA6

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    maswali ya physics ntajibu
  8. CHACHA6

    JamiiForums Tanzania PCB ni comb ya kukimbilia kwa sasa?

    Mimi nilisoma iyo comb na nikakosa udaktari nikaenda soma zangu wildlife na mambo yanaenda vizuri kabisa na hata sitaki tena huo udaktari
  9. CHACHA6

    JamiiForums Tanzania Kwa waliochaguliwa College of African wildlife management, Mweka tukutane hapa

    Degree ni miaka 3 na unasoma kwanza darasani thereafter ndio mnaenda field
  10. CHACHA6

    JamiiForums Tanzania Kwa waliochaguliwa College of African wildlife management, Mweka tukutane hapa

    Lakini utakuwa competent sana kwenye industry ya wildlife na tourism kwa sasa huezi ona faidi yake baadae utakuja kuenjoy sana hata kama unaona kushindia porini si muhimu sana
  11. CHACHA6

    JamiiForums Tanzania Kwa waliochaguliwa College of African wildlife management, Mweka tukutane hapa

    ada ni kubwa coz kuna field practical training nyingi
Back
Top Bottom