Jamaa yangu namimi naipenda hiyo kazi naomba msaada ndgu yangu wakimuongozo juu ya mtaji was kununua mashine na vifaa vinavyohitajika kiujumla
Nipo mbeya chukua namba yangu unicheki wasp
Jamani nivitu gani vya mhimu vinavyotakiwa kuzingatiwa wakati mtu anapokuwa akihitaji kufungua stationary iliyokamilika na inahitajika garama kiasi gani kuifungua? Naombeni msaada jamani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.