Pole sana kaka! Aisee nakushauri uwapende sana watoto wako hao ndo kaka zako na dada zako wa damu hawa wanawake waone hivo hivo kwanza tambua mwanamke sio ndugu yako! siwezi kukushauri uachane na mke wako sana sana ntakwambia umsamehe bure jiulize tatizo liko wapi lililopelekea hadi akafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.