Hello wa JF,
Kwa mtu ambaye anahitaji Sulphur kwa matumizi ya viwandani au Migodini inapatinaka.
Ipo kwenye mfumo wa GRANULAR.
Mzigo upo wa kutosha (zaidi ya 15,000 MT).
Mzigo upo Dar es salaam, Tanzania.
Documentz zote zipo.
Inatumika kwenye:
- fertilizer production 🌾
- chemical...
Habari ya muda huu wakuu, issue yangu ipo hivi
Mwaka jana mwishoni (December 2024) nliingia makubaliano na kampuni moja kwa ajili ya kununua bidhaa ambayo kwa madai yao wanaagiza kutoka nje ya nchi na ingewachukua mpaka siku 45 kufika Tanzania.
Nlifanya malipo kulingana na Taratibu zao na pia...
Wana JF msichukie swala ni kuwa hyu mmama inaonekana waz atpata kura chache haijalishi hata kama ana sera nzuri kiasi gani....unajua kuna wagombea wakisimama hata bila kuongea wana ushawishi kama vile MAGUFULI & LOWASSA kitu ambacho hyu mmama amekikosa na ukigombania na big fishes kama hao...
Jana katika pita pita zangu nikajikuta nimeibukia Zakheem-Mbagara, kwa mbaaali nikamuona mmama anayegombea uraisi kupitia ACT wazalendo, Zitto, Afande Sele na Kala Pina , yaani yule mmama hana ushawishi hata kidogo sijui hyo Oct 25 atapata kura ngap?
Ama kweli kama wewe unajihisi una wakati...
Weeeraaaaaaaaa weraaaaaaaaa
Haya sasa siku yenyewe imefika ya kuweka mafuriko bila kuwa na wasanii wa fiestaaaa....
Ndugu zangu tufanye shughuli zetu mapema tuelekee kule JANGWANI...
Wale wapenda mabadiliko tusikose
PEOPLEEEEEES.....mheshimiwa akisikiliza matatizo ya walala hoi...LOWASSA akiwa...
One definition of insanity is "doing the same thing over and over again and expecting different results."
labda kwa kiingerezamtanielewa...........watanzania wenzangu CCM imeishindwa hii nchi kwa miaka 50 hawataweza kwa miaka 5 TAFAKARI
Hii ni dhahili kuwa kama watanzaniawakiipitisha tena CCM kutawala kwa awamu nyingine si haki tena kwetu kulia aukupiga kelele juu ya UMASIKINI.
Tufikiri jinsi ujangiri ulivyokuwa ndani yamiaka mitano iliyopita tembo Zaidi ya 60% wameuwawa,vipi kuhusu swala la EFDmachine:wafanya biashara...
Jicho latatu juu ya ufunguzi wa kampeni za CCM jangwani
Kuna mambo kadhaa tunaweza kuyaona juu ya mkutano wajana wa CCM wa ufunguzi wa kampeni
CCM wanajua kuwa UKAWA ni wazi wataleta mafuriko ndo maana na wao wamelazimisha hyo kwa kuwaalika wasanii kibao kama FIESTA.(MUDA MWINGI...
Jicho la tatu juu yaufunguzi wa kampeni za CCM jana
Kuna mambo kadhaa tunaweza kuyaona juu ya mkutano wa jana wa CCM waufunguzi wa kampeni
CCM wanajua kuwa UKAWA ni wazi wataleta mafuriko ndo maana na wao wamelazimisha hyo kwa kuwaalika wasanii kibao kama FIESTA.(MUDA MWINGI UMETUMIKA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.