Recent content by Centrehalf

  1. Centrehalf

    Heri ya mwaka mpya 2015

    inasikitisha sana
  2. Centrehalf

    Heri ya mwaka mpya 2015

    Amani kwa wote wana jf,nawatakia heri ya mwaka mpya 2015 wenye baraka tele na mafanikio.naomba mwaka 2015 tujikite kwenye mijadala ya maana na yenye tija kwa taifa kama vile njia za kumaliza ufisadi serikalini,kura ya maoni ya katiba pendekezwa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.kila la kheri wana jf.
  3. Centrehalf

    Tanzania yatoa shule mbili (2) bora za sekondari Africa katika 50 bora

    tafuta kingine kama shida yako nikutaka kuisifia serikali,lakini kwa hili la shule hizi hapana
  4. Centrehalf

    Hongera CUF kwa kuchukua vijiji vingi Liwale

    Kati ya 39vilivyobaki chadema wamechukua 1,nccr,1 na ccm 37 kumbuka vijiji vyote kabla ya uchaguzi vilikuwa ccm
  5. Centrehalf

    Hongera CUF kwa kuchukua vijiji vingi Liwale

    kweli kabisa mkuu
  6. Centrehalf

    Hongera CUF kwa kuchukua vijiji vingi Liwale

    Salaam,napenda kukipongeza chama cha wananchi (CUF)kwa kuchukua vijiji 37 kati ya 76 vya wilaya ya Liwale.Hongera wananchi wa Liwale kwa ushindi wenu.Hongera mh. Said Katundu na uongozi wote wa wa mkoa na wilaya wa CUF.
  7. Centrehalf

    Zitto Kabwe mgombea ambaye hatagombea, mhanga wa mafanikio yake

    Hivi issue ya mabillion ya uswis iliishia wapi vile?
  8. Centrehalf

    CCM 'yapoteza' viti 2,600 Serikali za Mitaa

    Amani kwetu sote,hivi ccm kupoteza viti vingi kwenye uchaguzi wa s/mtaa,vijiji na vitongoji ninini sababu iliyopeleka hali kuwa hivyo?naomba tuchambue sababu kwa umakini ukiona huna chakuchangia bora upite tu.nawasilisha.
  9. Centrehalf

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    hebu tupe ukweli wa matokeo yote nchi nzima maana nape alisema ni 84% hapo wewe umesema zaidi ya asilimia 70 nisaidie kujua ukweli maana mawio wamesema wapinzani wameshinda asilimia 38 wewe umepinga.
  10. Centrehalf

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Salaam,kwa walioyoko mbeya au mliofuatilia uchaguzi wa s/mtaa jijini mby vp chadema wamepata viti vingapi?napenda kujua.
  11. Centrehalf

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Mathematically imezaa matunda sana,kisiasa imefanya vizuri sana kwa namna wananchi walivyojisimamia katika maeneo yao ya uchaguzi.
  12. Centrehalf

    Dr. Kigwangalla wewe ni mzalendo, asante kwa kuikemea serika bila woga

    Heko dr wa ukweli,kwa kuguswa na kifo cha mtanzania mwenzako licha yakuwa naitikadi tofauti nae huo ndio uzalendo wa ukweli maana watanzania lazima tulindane wenyewe dhidi ya ukatili wa aina yoyote ile.mungu ilaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina.each drop of humanblood is counted in...
  13. Centrehalf

    Hivi kati ya ccm na ukawa,ni nani aliyepata mafanikio kwenye huu uchaguzi wa s/mtaa nchini kote?

    Amani kwa wote,napenda kujua katika uchaguzi uliofanyika 14 dec 2014 nani aliye pata mafanikio kati ya ccm na vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi(ukawa) ni nani?
Back
Top Bottom