Msaada kwenye tuta...
Natafuta lyrics ya wimbo wa JOSE MTAMBO FT BELLE 9_Naongea na roho.
Napataje wadau,au kuna mwenye uwezo wa kushusha hata vesi 1 tu.
Asante.
#forgive me.
Watu wanasema sana kuhusu ile biti ya Dar Stand Up ya CHID BENZ. Ambayo ilinyongwa na Marehemu Pancho Latino ni biti kali sana,Pia Rashid alikuwa kwenye prime yake.
Zikitajwa biti alinyonga Latino zinatajwa nyingi lkn Dar Stand Up inatajwa zaidi,Sio kitu kibaya lakini.
Lakini huyu jamaa kuna...
Wakuu msaada mwenye ngoma ya jay moe Hili.game remix tafadhali.naiomba hapa. Mara nyingi nayoipata haipo fresh ipo sauti ya chini sana alafu biti haikimbizi vzr.
Msaada jamani nayoipata ni hiyo chini hapo
Kwahyo nikilipa hiyo naweza download ngoma kibaoo hata nikiwa offline nasikiliza bila shida? Au kuna kikomo.kwenye hizo ngoma? Yani uki download kazaa mwisho? Na vp niki log out ngoma zinapotea? Vp nikibadili simu nikija kulog in ngoma inatakiwa nianze upya? la.mwisho njia ya kulipia ni ipi...
Wakuu kwema?
Hivi Tamaduni Music ilianza mwaka gani na mwaka gani ikawa imekufa (japo sina hakika ndio maana nauliza)?
Kama ilikufa nini chanzo cha Tamaduni kufa?
Muanzilishi alikuwa nani wa Tamaduni? Nini chanzo kufa kwake. Members wa Tamaduni walikuwa kina nani?
Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.