Recent content by Celine Joseph

  1. C

    Ngeleja apongezwa na wananchi

    Mwananchi, Sunday 6th November 2011 Na Mwandishi Wetu. WANANCHI wa Jimbo la Sengerema mkoani Mwanza, wamempongeza mbunge wao, William Ngeleja (CCM), kwa kile walichokieleza kufurahishwa na utekelezaji wake wa miradi ya maendeleo anaoufanya jimboni humo, na wamemuahidi kumchukulia fomu ya...
  2. C

    Ngeleja aongoza tafiti kwenye media - Urais upande wa vijana

    BREAKING NEWS:NGELEJA AONGOZA TAFITI KWENYE MEDIA URAISI UPANDE WA VIJANA Taarifa iliyotolewa Jana na jarida la kimataifa la habari (International Journal), zinaonesha Ngeleja Willium ambaye ni kijana mwenye miaka 47 anaongoza kwa 32% kwenye mbio za uraisi upande wa vijana nchini Tanzania...
  3. C

    Asante sana Ngeleja

    WILLIAM NGELEJA NGUZO YA MAFANIKIO SERIKALI YA AWAMU YA NNE,SEKTA YA NISHATI Willium Ngeleja ambaye pia ni mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM taifa,mbali na kuwa mbunge kwa kipind cha pili sasa, Ngeleja amewah kuwa naibu na hatimaye wazir wizara ya nishati na Madini kwa takriban miaka mitano na...
  4. C

    Asante sana Ngeleja

    WASIFU WA MHESHIMIWA WILLIUM MGANGA NGELEJA (THE CURRICULUM VITAE) Particulars/ Husishi/Moja moja Jina: WILLIUM Jina la kati: MGANGA Jina la mwisho/ukoo: NGELEJA Tarehe kuzaliwa: 05/10/1967 Wasifu wa ndoa: AMEOA Anuani: SLP 2000 DAR ES SALAAM Simu ya kazi: 0754710070 Taaluma yake 2001-2002...
  5. C

    Asante sana Ngeleja

    MH.WILLIUM MGANGA NGELEJA SULUHISHO BORA MADINI Itakumbukwa kuwa sekta ya nishati na madini ilishawah kukaliwa na nawazir wengi mno wakuwemo kina Mzee Msabaha,Mzee Daniel Yona na wengine wengi tuu,lakini hao wote walikuwa wanaishia kuwa katika wizara hiyo kwa muda wa miaka 2 na nusu na muda...
  6. C

    Asante sana Ngeleja

    NJOMBE, MBINGA ASANTE NGELEJA KWA KUTUTOA GIZANI Juzi wakati wawakilishi wa gazeti letu walipotembelea maeneo ya Njombe na Mbinga wakihoji kuhusu namna umeme ulivyovifikia vijiji vingi katika maeneo hayo walikutana na maneno mengi sana lakini mengi yalikuwa na maneno ya shukrani kwa aliyekuwa...
Back
Top Bottom