Recent content by cEHO

  1. cEHO

    JamiiForums Tanzania KERO Tozo ya Bajaj Stendi ya mabasi Magufuli: Nani anapaswa kulipa?

    Unapopanda bajaji kwenda Stendi ya Mabasi ya Magufuli, Mbezi, unaambiwa nauli yako inaongezwa Shilingi 500 kama tozo ya kuingia stendi. Kinachoshangaza ni kwamba tozo hiyo inayotozwa kwa waendesha bajaji inaonekana kulipwa na abiria, badala ya kubebwa na mwenye bajaji ambaye ndiye anayefanya...
  2. cEHO

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mkopo wa haraka mtandaoni

    App nyingi tu zinatoa mikopo haraka ila riba ndio 🔥 na simu za kutosha kukumbushwa kulipa😃. Pakua app your yenye rate ya 4.0 na kuendelea
  3. cEHO

    JamiiForums Tanzania Mamilioni ya Pension Anayolipwa Mbunge Yanatoka wapi?

    Sote tunatambua kuwa, wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungsno wa Tanzania hawalipi kodi kwenye Kila kitu licha ya kuwa wanalipwa mishahara minono na marupurupu ya kutosha. Baada ya kustaafu au kumaliza miaka yake mitano, atapata kiinua mgongo/pension ya zaidi 200m. Haya mamilioni wanalipwa...
  4. cEHO

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Midomo ya mwanamke ina uhusiano na ukubwa wa uke wake

    Mimi nadhan mngefanya utafit wenywe badala ya kuhoji madaktari na kusoma makala. Kinachozungumziwa hapa ni uhusiano wa lips na labia ndio
Back
Top Bottom