Recent content by cathy collent

  1. cathy collent

    *Naomba msaada wa jinsi ya kupata hostel chuo cha T.I. A

    Kwnz unakijua icho chuo kwel au umejibu tu [emoji23][emoji23]
  2. cathy collent

    Naomba msaada nimepata chuo second round lakn nimeshindwa kufanya comfirmaton

    Kama upon dar nenda ifm kaonane na admission au kama upo mbali wapigie simu watakutatulia tatizo lako
  3. cathy collent

    Natafuta chumba meneo karibu na TIA kurasini,

    Habar wana jf Natafuta chumba kikubwa self maeneo ya sabasaba au kwa azizi Ally isiwe mbali sana na barabara. Budget kuanzia 50k isizidi 100k
  4. cathy collent

    Mashine haitaki kulala tangu alfajiri

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. cathy collent

    Nauza glass protector Kwa jumla

    Glass protector zinasaidia kulinda kioo cha smartphone yako.. Ukiweka glass protector incase simu imeangukia upande wa kioo mpasuko utaishia kwny protector
  6. cathy collent

    Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

    Natafuta Chumba master au Vyumba viwili maeneo ya ubungo au river side.. Kuwe na usalama na maji yakutosha budget ni 100k
  7. cathy collent

    Nauza glass protector Kwa jumla

    Habari wana jf Nauza glass protector kwa bei ya jumla.. Elfu moja moja kuanzia kumi . Protector zilizopo ni za iPhone, Samsung, LG, huawei na techno Kama unahitaji nitext pm au njoo directly kwny namba hii 0625216992 Karibun sana
Back
Top Bottom