katika ubalozi wa Tanzania wenye shida sana sana ni huu wa Pretoria tushasema sana lakini sijui za ndani ni zipi? Ukitaka kuamini nenda magereza ya afrika ya kusini 60% ya wageni ni watanzania sio kwamba ndio wakosaji sana bt mabalozi hawaji kuwatoa mimi shahidi wa hilo balozi wa malawi kila...
kama umewahi kuishi baadhi ya sehemu au unandugu anaishi hizo sehemu, nirahisi kupata majibu!ni kweli unaweza kuoa au kuolewa na muathirika wa vvu kama home tunavyo penda kuita na, bado wewe na watoto mkawa wazima.
mind you apo bongo kila siku kuna watu wanalala na watu wenye vvu na hamjuani na...
schweinsteiger huyu mjerumani hatari japo sijui full nam,e yake.
Igori Belanov miaka yetu mipira ya madaso tuliita mikoani tulipenda kujiita hilo jina.
Habari za asubuhi?
Jana niliomba ushauri kuhusu mke wangu, wengi walinishauri, maybe kutokana na uzoefu wa ndoa zao au kutokana na kushuhudia mengi kutoka kwa wazazi wao, ila naamini hakuna alie nishauri from know where tuna experince nzuri sana kuhusu ndoa wengi wetu!
Kwangu JF wapo wazazi...
Mbona nimeshalisema hili!! hakuna sababu ya maana sana zaidi ya mapenzi basi, tulisoma wote chuo na mazingira tulio somea ndio yalileta ndoa na mtoto ila kusema kuna kitu kingine zaidi ya hiko hakipo
kiuhalisia jibu la swali lako hata mimi sina nilishajaribu kujiuliza sana??ila kwa sababu tulisoma chuo kimoja tena mazingira ambayo wote ni wageni na tunatoka nchi moja hiki ndio kilileta mazoea yakaleta mtoto na badae ndoa. ukiniuliza kama nampenda mke wangu jibu ni yes nampenda ila sipendi...
Asanteni kwa ushauri unaoendelea mpka sasa!!
Naomba niwaeleweshe hivi, mimi na mke wangu tuliona 2018 baada ya mimi kumaliza chuo na kupata kazi,, na nimesha achana na wanawake tena wazuri kuliko hata wife wangu, Kwangu mimi uzuri na sex sio vitu vya kwanza kwenye maisha yangu to bad me ni...
Habari ndugu na jamaa wa JF?
Nimekua nikifatilia humu JF kwa muda kuhusu ndoa, naamini humu kuna watu wana uzoefu mkubwa sana kuhusu ndoa tunaweza kushauriana mambo kadhaa.
Mimi ni kijana amabe nipo below 30 age nimeoa mke ambae ninamzidi mwaka 1, mimi na mke wangu wote tunalingana elimu ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.