Poleni, jana kamanda wa jeshi la zima moto alisema vifaa havitoshi na kuomba msaada wa vifaa, kwa hiyo hapo wanadar ni kusaidiana tu kuzima moto msitegemee sana zimamoto.
Mgomo ni moja ya hatua ya kudai haki ikiwa upande mmoja hautaki kufikia muafaka, lakini mgomo ufuate sheria ili kuepesha madhara baada ya mgomo. nawashauri wanachuo wawe na subira kwa kuwa upande wa pili wako tayari kuendelea na mazungumzo na huenda wakaafikiana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.