Habari za asubuhi wapendwa,
Kwa yeyote ajuae dawa ya kipanda uso naomba aniambie maana uvumilivu umenishinda!.
Huwa nasumbuliwa sana na kichwa, maumivu huwa nayasikia kuanzia utosini mbka kwenye paji la uso ambayo husababisha macho yaume pia.
Nimejaribu kunywa pain killers ila ndo kwanza...
thanx guys I appreciate everybody's outlook,i know life isn't a bed of roses bt I luv my guy a lot that's why I want everything 2 be perfect tho perfection is far 4rm human nature
Habari za asubuhi wanaJf,
Hii ni mara yangu ya kwanza kutoa thread kwahiyo naomba ushirikiano wenu wapendwa.Katika mahusiano yangu mambo si mazuri kama nilivyotarijia,the guy in my life runs out of the qualities ambazo zilifanya nimpende.
Nimejitahidi kuwa na mawasiliano mazuri nae na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.