Recent content by casmir seniir

  1. C

    CCM ilipofikia imeshachoka tayari, dawa kuipumzisha na kuleta chama kingine kiingie madarakani

    Ukawa hawafai hata kidg, wakifanikiwa kuigawa tz, watatugawa kidini na kikabila, sasa tuambie tumchague nani kwenda ikulu km si hawahawa akina magufuli? Na pili ikulu si sehemu anaeweza kwenda malaika (mtu msafi), kwani anaenda kusalisha pale? Haya km ww na chama chako ni wasafi kitaje
  2. C

    CCM ilipofikia imeshachoka tayari, dawa kuipumzisha na kuleta chama kingine kiingie madarakani

    Manake bora hawa hawa mafisadi kuliko kuwachagua watu wanaoitaka Tanganyika
  3. C

    CCM ilipofikia imeshachoka tayari, dawa kuipumzisha na kuleta chama kingine kiingie madarakani

    No way ukawa to take over, there's no even a spot Chance for them
  4. C

    Naomba Msaada wa kuspy message za whatsapp

    Kumchunguza? Soma vitabu km umekosa cha kufanya
Back
Top Bottom