Recent content by Carrol

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kairuki: Uhamisho wa watumishi wa umma uzingatie vigezo

    Sisi tumejaribu na mwenzangu kutafuta uhamisho kutoka halmashauri ya wilaya ya Mbulu kuja babati manyara. Yote na ndani ya mkoa lkn tumekuwa tukikutana na kikwazo cha kuambiwa mwenzangu atafute mwalimu mwenzake wa kubadilishana naye. Tunapitia kipindi kigumu kama wanandoa, ndoa ni changa, watoto...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

    Naona huyu dada atakuwa kikwazo cha hawa jamaa kuoana. Bora aondoke awaache waoane kabisa maana maandiko yanasema "Alaaniwe alalaye na mwanamume mwenzake kwa mfano wa kulala na mwanamke na watu wote waseme amina" Ila amweleze haya ndipo aondoke asijitie unajisi.
Back
Top Bottom