Recent content by carinna

  1. C

    Aggrey Mwanri: Hii ni tabia mbaya kwa Wananchi wako

    Kaka hapo kwenye mada lowassa anahusikaje? Maana nimesoma na kuielewa mada lakini sijaona huusiano wowote..
  2. C

    Edward Lowassa afanya Propaganda kwenye media eti kashinda 100%

    Ndugu Tindo mimi ni mdada na si bwana kama ulivyosema... Kiukweli mpaka sasa naona muelekeo wa mada unapoenda naona unanivuta upande wako ambapo mpaka sasa sijajua niendapo haujakuwa muwazi kama mimi.. Taja kijana ambaye unahisi anafaa na sifa zake 5 kama nilivyoeleza mwanzo
  3. C

    Edward Lowassa afanya Propaganda kwenye media eti kashinda 100%

    Ahsante sana ndugu Tindo... Tunaelewana kwa hoja mimi na wewe kwa kuwa tuna nia moja ambayo inafanana nayo ni kuiona hii nchi ikipiga hatua kwa namna moja au nyingine i.e Huduma bora za afya, Ajira, maji, Elimu n.k Narudi kwenye mada, suala la nasari nimejaribu kulifuatilia kwa kina na sikuona...
  4. C

    Edward Lowassa afanya Propaganda kwenye media eti kashinda 100%

    Ndgu Tindo ahsante sana kwa uliyoyasema.... Kiukweli ndugu tindo ulichoshindwa kuelewa au Watanzania wengi kwa ujumla ni suala moja, CCM ina maovu yake kama chama ila ina watu wasio na maovu, Wakina warioba ni wana CCM wazuri tuu wasio na kasoro yoyote.. Hivi kuna wabunge wangapi hawakutoa...
  5. C

    Edward Lowassa afanya Propaganda kwenye media eti kashinda 100%

    Ingekua ni busara zaidi kama utasikia ILANI ya chama atakachogombea nacho ma sera zake, hapo tutapata dira ya kwa nn yeye ameamua kuikimbilia hot seat...otherwise you wouldnt tell tukitoa kwamba yeye ni mwanasiasa nguli na ni haki yake ya kikatiba kugombea
  6. C

    Edward Lowassa afanya Propaganda kwenye media eti kashinda 100%

    Ni haki ya kikatiba mtu kugombea nafasi anayoitaka katika jamuhuri ya Tanzania, kama na wewe unania yakugombea unaweza,ilimradi ukidhi vigezo..
  7. C

    Edward Lowassa afanya Propaganda kwenye media eti kashinda 100%

    Ndugu tindo nimekua nikisoma maoni yako au claims zako juu ya mtu huyu kwa muda sasa...Naona watu wamekosa uthubutu wa kukujibu, well umezungumza kuhusu E.L kuhutubia misikitini na makanisani, mivkwangu naona si kosa kwani angeenda kinyume na nguzo za dini hizi asingeruhusiwa, hata wewe naweza...
  8. C

    Lowassa na falsafa ya maji kwenye pakacha

    #2015twendeninalowassa
  9. C

    Pinda na Membe Hapatoshi: Waapa kushughulikiana katika mbio za 2015

    Umefikia wakati wa sisi kupima, kwa mtazamo wangu kama haya madai ni ya kweli viongozi hawa wamekosa Ethics (maadili ya uongozi).. Kama Membe anatoa siri za baraza la mawaziri mapema hii je akipewa dhamana ya kuongoza hili jahazi itakuaje? Kama waziri mkuu pinda akipewa dhamana ya kuongoza nchi...
  10. C

    Lowassa amchokonoa Kikwete, Pinda na Membe

    This is rubbish...acha uongo
  11. C

    Maswali kumi kwa Edward Lowassa na Wafuasi wake

    Je we ni daktari wake au unamafile ya kuthibitisha kuwa ye ni mgonjwa
  12. C

    Lowassa Arejea Dodoma huku akiwa na Masikitiko Makubwa ya kuporomoka kisiasa Kanda ya Ziwa

    Kaka chabruma sasa nimefikia kusema sitathubutu kupoteza muda wangu kusoma threads zako tena... Sijui unaugua akili au lah umekua obsessed kwa Lugha ya wenzetu, hauna kazi yakufanya we kutwa kuchwa Mamvi... Kesho uje utuambie amegombana na mkewake, au utuambie amekula chakula kitachomfanya...
  13. C

    Edward Lowassa akutana na Maaskofu wa Tabora na Kagera na kufanya nao mazungumzo ya Faragha

    Usipigie kura chama bali piga kura kwa kiongozi bora
  14. C

    Edward Lowassa akutana na Maaskofu wa Tabora na Kagera na kufanya nao mazungumzo ya Faragha

    Mtoa hoja mpaka hii leo haujatuthibitishia mabandiko yako yaliyopita leo unakuja na hili... Inaoneka wewe sijui umemfunga Lowasa GPS na voice recorder kila mahala unajua alipo vikao vyake na hoja zinazopngelewa... Ila kikubwa bwana chabruma tumechoshwa sana na kuzunguka kwako we tuambia lengo...
  15. C

    Lowassa, mazoezi ya picha ya nini na unamuonesha nani?

    Hahha we kweliii mwandishii... kwani mtu mtu kabda ya kuanzaa mazoezii si anatakiwa awarm up then ndo anaanza mazoezii,kwahyo we kumuona anatembeaa before hajaanzaa mazoezii and kupanda vx afta kumaliza mazoezi ndo imekuwaa shdaa. And ongeeni through facts,letaa mada na proves zake .
Back
Top Bottom