Recent content by carina-TI

  1. carina-TI

    masharti yako ni magumu sana mkuu

    wenye nyumba hebu tusaidiane kuikuza hiyo katuni....
  2. carina-TI

    masharti yako ni magumu sana mkuu

    Mkuu wetu ALI-HADAIWI…… Masharti yako ni magumu sana….JAMIIFORUMS hawako tayari kwa masharti yako... Wahukumiwe kwa hizo bahasha za kaki... wahukumiwe kwa njaa zao
  3. carina-TI

    Hebu sikieni ninavyowaza!!

    heshima mbele mkuu....! huyu binti hajasamehe na ninafurahi umelitambua hilo
  4. carina-TI

    Hebu sikieni ninavyowaza!!

    hahahaha! carina-TI anarudi kwenye mkeka
  5. carina-TI

    Hebu sikieni ninavyowaza!!

    hahahaha!
  6. carina-TI

    Hebu sikieni ninavyowaza!!

    broken heart.... broken heart iliyokata tamaa (mara zote hufikiria kujiua) another broken heart broken heart at its maximum level POLENI SANA DADA ZANGU!mioyo yenu imevunjwa vunjwa (ni kwa sababu mliruhusu kuendeshwa na hisia zaidi kuliko ukweli wenyewe wa maisha.....) (potelea mbali...
  7. carina-TI

    Hebu sikieni ninavyowaza!!

    mtakatifu roya..... kamata hii kwanza then tutajua la kufanya: The Following User Says Thank You to St. RR For This Useful Post: carina-TI (Today)
  8. carina-TI

    Hebu sikieni ninavyowaza!!

    mkuu ninashukuru sana kwamba umeliangalia hili ''beyond the normal limits'' hebu kamata hii: The Following User Says Thank You to Bigirita For This Useful Post: carina-TI (Today)
  9. carina-TI

    Hebu sikieni ninavyowaza!!

    hapo ndipo utata wa msamaha wako unapoibuka....... hapo ndipo penzi ulilonalo dhidi ya huyo kijana linapojidhihirisha..... mi nadhani wewe SONGA MBELE....! si ajabu mwenzio keshaoa na keshakusahau kitambo na siku nyingi sana...we unajiumiza kwa mastress,ma likizo na misamaha yenye ''lakini''...
  10. carina-TI

    Hebu sikieni ninavyowaza!!

    hahahaha!haya bana..... naomba ile avata ya mizungu ikishangilia thead za klorokwin
  11. carina-TI

    Hebu sikieni ninavyowaza!!

    urudi na ile nyama aisee!
  12. carina-TI

    Hebu sikieni ninavyowaza!!

    yaani ninyi wakinamama mnashida sana.....!sisi wanaume tunaosoma katikati ya mistari tunajua kuwa: 1)-bado unampenda sana tena sana 2)-hujamsamehe!hujamsamehe kwakuwa ...(rejea point nr moja) YUPO KWENYE DAMU YAKO HUYO MTU........! HE DRIVES YOU CRAZY.......!you know why....?
  13. carina-TI

    Hebu sikieni ninavyowaza!!

    hapa ulikosea.....! tena kama wewe ni mchaga basi utakuwa wa KISHUMUNDU.....yaani wewe ulijichukulia madaraka mkononi UNAANZA TU KUMUAMINI?..lakini pia mimi nadhani ni ''utoto'' sasa mama..... unamchukulia mtu kama MUME kwani alileta barua ya posa au mahari alitoa? hivi mama.....! uliwezaje...
  14. carina-TI

    Hebu sikieni ninavyowaza!!

    hahahahahaha! ee banaa eeh!avata hiyo ndugu yangu salimia KOROGWE hapo
  15. carina-TI

    Hebu sikieni ninavyowaza!!

    mkuu swalamaa? ukimwona klorokwini sehemu mwambie anipigie.....nina ishu nae:wink2:
Back
Top Bottom