Recent content by Cards Fantasy

  1. Cards Fantasy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mhudumu wa Mgahawa

    Habari za leo wanafamilia! Tuna mgawaha mdogo maeneo ya Chang'ombe maduka mawili Dar, tunahitaj Dada mmoja wa kusaidia kudeliver order na kufata order. Akiwa anaishi mitaa ya huku au angalau gari moja itakuwa afadhali. Posho/ mshahara ni Laki 1 kwa mwezi! Wasiliana na Dada, 0689565965 0655...
  2. Cards Fantasy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji App developer au kampuni ya kutengeneza App

    Napokea kwa email bado Bei na sample za kazi. Nitext huko.
  3. Cards Fantasy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Partner au Partners 2 Tufanye biashara ya Kuuza Kuku Pamoja

    0784645900. Hiyo hapo brother
  4. Cards Fantasy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji App developer au kampuni ya kutengeneza App

    Habari za leo wanafamilia. Nahitaji App developer au company inayodeal na utengenezaji wa Apps. Nna mfadhili anataka kunipa support kwenye app yangu. Mimi ni Muanzilishi wa Kuku Care Tanzania. Tunauza herbs na spices Maalum za kutibu na kukinga magonjwa mbalimbali ya Kuku, kupandisha...
  5. Cards Fantasy

  6. Cards Fantasy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Partner au Partners 2 Tufanye biashara ya Kuuza Kuku Pamoja

    Usijali Brother, tutatafutana. Upo wapi?
  7. Cards Fantasy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Partner au Partners 2 Tufanye biashara ya Kuuza Kuku Pamoja

    Asante Sana brother. Kweli Target ni kuongeza vifaa pia sio hela yote kuingia kwenye mtaji. Hiyo collection point itakuwa na facilities zake za kujitegemea. Asante kwa Tahadhar na Mawazo endelevu zaidi. Kweli, kuanzia Mwezi ujao Tukijaaliwa ntaanza savings na plans za kujitanua kuelekea...
  8. Cards Fantasy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Partner au Partners 2 Tufanye biashara ya Kuuza Kuku Pamoja

    Karibu Sana, lengo tufanye pamoja, uwepo nawe kwenye mishe nzima aidha bandani, ofisini au kwenye ku interact na wateja, ni business yetu tuifanye pamoja. Incase umebanwa na majukum mengine, mlete mtu tufanye kazi pamoja hii ndo lengo hasa, tuwe team moja. Ikishindikana kabisa kuwepo au kuleta...
  9. Cards Fantasy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Partner au Partners 2 Tufanye biashara ya Kuuza Kuku Pamoja

    Samahani, labda tumeelewa tofauti. Namaanisha kwa wastani wa capital ya 4M unaweza pata 450,000/- Hadi 600,000/- kwa mwezi Kama faida. Yaani roughly faida huwa ni 10% ya capital yako kila mwezi Asante kwa ufafanuzi zaidi Mkuu! Ni kweli, capital ikiongezeka na faida automatically itapanda.
  10. Cards Fantasy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Partner au Partners 2 Tufanye biashara ya Kuuza Kuku Pamoja

    Samahani, labda tumeelewa tofauti. Namaanisha kwa wastani wa capital ya 4M unaweza pata 450,000/- Hadi 600,000/- kwa mwezi Kama faida. Yaani roughly faida huwa ni 10% ya capital yako kila mwezi.
  11. Cards Fantasy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Partner au Partners 2 Tufanye biashara ya Kuuza Kuku Pamoja

    Nina brother ana deal na freezer brand new. Mm natumia brand za mo electro. Wastan Lita 150 kwalaki 5 Hadi /laki 4.5.
  12. Cards Fantasy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Partner au Partners 2 Tufanye biashara ya Kuuza Kuku Pamoja

    Usijali Brother, ndo binadam, hatuwez wote kuwa sawa. Inatupasa kujifunza kustahimili negativity kutoka kwa watu negative Kama hao. Na kuwapuuza coz walikuwepo na hawataisha, na Maisha inabidi yaendeleee.
  13. Cards Fantasy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Partner au Partners 2 Tufanye biashara ya Kuuza Kuku Pamoja

    Usijali Brother, nitext nikupe maelezo ki urefu.
  14. Cards Fantasy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Partner au Partners 2 Tufanye biashara ya Kuuza Kuku Pamoja

    Asante sana. Nikiiangalia hii text naona imebeba both intentions, Kama ulivyosema, as long as masoko yapo ni muda muafaka wa kusogea mbele Zaidi. Shukran sana kwa mitazamo mizuri.
  15. Cards Fantasy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Partner au Partners 2 Tufanye biashara ya Kuuza Kuku Pamoja

    Karibu Sana. Kwanza utakuja kuona nyumban, na ofisi yetu ndogo. Nna Wakili Wawili mmoja akiwa sister wangu naimani tuta sort vipengele vyote muhimu ku cover Hilo hitaji la trust and credibility. Naimani tukijaaliwa kuonana na kukaa mezani, tutafanya biashara kubwa na endelevu kwa mapenzi ya...
Back
Top Bottom