Recent content by CARDLESS

  1. CARDLESS

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

    Akawe PADRE sasa
  2. CARDLESS

    JamiiForums Tanzania Je Emmanuel Nchimbi atatekwa na kupotezwa kama Polepole?

    Kizuizini tu hapo hadi Kifo chake. Mazee Mamlaka ya Rais ni Makubwa sana sio kumvaa vaa hovyo huyo mama. Upole wake ndio maana watu wengi wanamvaa tu. Lkn akikunjua makucha kama hapo kwa VP lazima akili zitukae sawa. Kama VP ametagishwa unategemea LISSU atakuwa salama.?
  3. CARDLESS

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    We qouma acha ujinga
  4. CARDLESS

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    We jamaa ni CHIZI
  5. CARDLESS

    JamiiForums Tanzania Ni Bahati Mbaya Wengi Hawajui Utimizo wa Unabii wa Biblia Kuhusu Matukio ya Dunia, Mfano hii Vita-Iran

    Biblia iliandikwa wakati YESU yuko hai au Ameshakufa? Kama iliandikwa wakati yuko hai hapo haina shida lkn kama jibu ni kwamba iliandikwa wakati yeye ameshakufa basi hapo hiko kitabu ni FAMBA maana ni stori za vijiweni na Ghahwa.
  6. CARDLESS

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Kama ulivyo wewe sijui kama unaona tabu wanayopitia watu wa Israel
  7. CARDLESS

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    😅😅😅😅😅 Humu mnapenda Stori za vijiweni kweli. Israel anachapika wewe unaleta habari za kwenu Mwanalumango?
  8. CARDLESS

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Stori za vijiweni hizi, huku JF ukiingia ni kama USA na ISRAEL hawapigwi, USA hana base hata moja hapo mashariki ya kati, zote zimepigwa na hatumii na ameshasema Askari wote waondoke bado unaamini USA ameshinda hiyo Vita? USA anaomba msaada wa kutumia Base za nchi zingine huoni kuwa amefeli...
  9. CARDLESS

    JamiiForums Tanzania Hatima ya Tanzania 2025-2050

    Leo hii ni Tarehe 16/08/2025, ninaandika hapa hatima ya nchi yetu hii pendwa (TANZANIA). Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania, hapa ni kwetu, hapa ndipo tunapojivunia kama watanzania. Kabla ya kuwa Juma au Patrick au Patel au Nakamura au Masanja ulianza kuwa Mtanzania, Yes sisi ni watanzania...
  10. CARDLESS

    JamiiForums Tanzania Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

    Huu ni Uongo wa wazi.
  11. CARDLESS

    JamiiForums Tanzania Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

    Yes Tehran ina watu wengi yaani ni wengi hasa mfano Dar mara 2.5 yake nahisi. Ingawa sina uhakika na Idadi ya Israel ila Tehran ina watu wengi mno hadi mji una joto.
  12. CARDLESS

    JamiiForums Tanzania Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

    Sirens zipo Iran, Nimefika hilo jiji acha uongo, hata Bankers zipo sema idadi ya watu ni kubwa sana hivyo haitoshelezi
Back
Top Bottom