"If your looking for booting your presence here then your mistaken. You meet a wrong guy at a wrong place n a wrong timing........."
Value your time. Write valuable arguments n your presence will be acknowledged.
There is the Hebrew proverb says, "Ishtaiñ Qalimah, kabille ddosh."
Shida si kwenda msibani. Tumeambiwa aliyekufa ni kada wa CCM, Lowassa alikuwa CCM hivyo anafahamiana na marehemu. Lakini hao wafuasi wa UKAWA na sare zao walikuwa wana dhamira ya mazishi au chokochoko ? Sasa inaonesha Lowassa ata akitaka kwenda faragha atasindikizwa na huo umati.
Kwa wakati...
Mzungumzie mlengwa, kuwaingiza watu wengine kwenye topic itakugharimu.
Wala hamna hata mtu mmoja humu JF atakaethubutu kukusaidia yakikukuta.....
Dats my advice to u !
Suala lolote linaloshirikisha imani, ni suala nyeti. Ila lina hatari moja huenda hicho kinacho aminiwa kikawa ni kweli au la.
Suala la msimamo wa Dr. Slaa limetawaliwa na imani, wapo wanaoamini bado yupo kwenye harakati na wengine ni tofauti.
Uhakika wa suala hili utapatikana punde tu Dr. Slaa...
Niliamini humu JF kutakuwa na wazalendo wa kutoa hoja kwa kila jambo linapowekwa.
Lakini ni tofauti na imani yangu huyo. Na nasikitika kuona baadhi ya watu wamekosa uungwana na uzalendo. Baada ya kutoa hoja wanatoa lugha za matusi, wanasutana kana kwamba haitoshi wanaumbuana.
Vilevile...
Je, amekamatwa kwa kosa la kutoa rushwa ? Au alukuwa anataka kutoa rushwa ?
Nijuavyo mimi kwa uchache wangu wa fikra niliyokuwa nao, anayetoa na anayepokea rushwa wote wamefanya kosa kwa mujibu wa sheria.
Sasa wakati mwengine hao maafisa TAKUKURU, wakipewa habari flank anatoa rushwa wao huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.