Recent content by captain zaka

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mnasema tufanye biashara, kazi tunazofanya afanye nani?

    Nani kasema kila biashara ni kubembelezana , ukiona unabembeleza mtu kweny biashara yako bas hio biashara kuna mahal umekosea either bei au quality Biashara ni ushawishi namna gan utamshawishi mtu anunue unachokiuza zingatia huduma zako na quality hivo tu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mnasema tufanye biashara, kazi tunazofanya afanye nani?

    Biashara ni kazi tu kama kazi zingine na pia ni kazi inayojitaji hesabu na mambo mngn tu kidg ya kuzingatia , ukisema kipaji unakosea. Zingatia ununuaji na uuzaji na unachokipata uki invest kwenye hio hio biashara au nje basi inatosha. Ni mbinu tu ndogo
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mnasema tufanye biashara, kazi tunazofanya afanye nani?

    We kuna kitu hujaeleqa kabisa unahisi biashara ni kuwa Vunjabei tu kuuza nguo. Kile unachokifanya au ulichosomea una uwezo wa kukifanya kuwa interms ya biashara. Kivipi?? We ni daktari kusanya pesa yako ndani ya miaka 20 , nenda mbeya kafungue hospital yako kaa utulie itaingiza hela kuliko hio...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kama Boko Haram target yao ni Wakristo, Waislamu waliolipuliwa msikitini hapo Nigeria, nani ni mhusika?

    Umeyapata wapi haya mbn mi muislam na naskia kwako mkuu 😂😂
  5. C

    JamiiForums Tanzania Yule kijana wa mkopo Milioni 30: Fuatilia nilivyofanya kwenye Mahindi Sasa natafuta masoko ya mazao mengine

    Pesa yyte pia unaeza kupata hasara hakuna pesa kamili nsikudanganye
  6. C

    JamiiForums Tanzania Qur’an bila apokrifa: Je, ingekuwepo?siri ya qur’an na vitabu vilivyokatazwa

    Naomba utujibu hili swali kwa Hoja kama unavotaka sisi tukujibu kwa hoja ; Je Kuna Mwanadam ana uwezo wa kufanya muujiza kwa karne hii mfano wa muujiza alofanya pastor tony?? Kweny uislam hakuna mtu anaeza kufanya muujiza zaidi ya manabii walopita Muhammad, nabii issa Nyie mnamuita Yesu ...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Qur’an bila apokrifa: Je, ingekuwepo?siri ya qur’an na vitabu vilivyokatazwa

    😂😂 Una bahat haturuhusiw ata kuisema Dini zngn kwa ubaya wala kuutukana kwa mambo yao nd maan huwez ona tunaleta maneno ya kashfa , ila kama we n mkristo au Shiaa umepotea na ukifa kwa hio hali we ni motoni milele Allah akuongoze utoke kweny ito dini ya biashara ya kujazia watu gesi kwa midomo...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Qur’an bila apokrifa: Je, ingekuwepo?siri ya qur’an na vitabu vilivyokatazwa

    😂😂😂 Duh We nakwamby hizi hoja zako sjyi unataka tukujibu au vipu ni kama mm nikwamby Yesu hakuoa kwaiy alikua anazini maan haiezekan miaka 30 + mwanaume asioe apo naomba ujitete kwa hoja!! kwaiy mi nikwmby naconclude ukristo swez kuufata kwasbb yesu wenu alikua anazini haiwezekean a man with 30...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Qur’an bila apokrifa: Je, ingekuwepo?siri ya qur’an na vitabu vilivyokatazwa

    😂😂 kaishiwa Hoja uyoo... Nan anafuga majini sasa na yale mnayoombewa kanisani yanatokea wap au na yale sisi nd tunawatumia 😂 kama basi sisi tunafuga majini basi sisi nd viumbe hatar tuna control dunia maana tuna control vtu we huvioni na tumepewa elimu ambayo huna na huwez ipata sa na hii...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Qur’an bila apokrifa: Je, ingekuwepo?siri ya qur’an na vitabu vilivyokatazwa

    Ndio anaapa kwa chochote broo , Anaamua kwa chochote kwan unadhan alikua hajui akiapa ivo we uta judge 😂😂
  11. C

    JamiiForums Tanzania Qur’an bila apokrifa: Je, ingekuwepo?siri ya qur’an na vitabu vilivyokatazwa

    Yesu nd anawafundisha kujaza gesi kwa mdomo mbn mi silijui ilo 😂😂
  12. C

    JamiiForums Tanzania Qur’an bila apokrifa: Je, ingekuwepo?siri ya qur’an na vitabu vilivyokatazwa

    sawa Pastor Tony, nikuletee Gesi ujaze 🤣🤣🤣 Haya huyaongei kazi kushobokea dini ya watu , M naomba nkuletee gesi ujaze na ukijaza mi naacha juwa muislam pumbav 😂😂 mnaumbuka
  13. C

    JamiiForums Tanzania Sura za kurogea watu na kufanyia ushirikina

    Sasa Hoja za nini we unataka kuwaambia watu ujwel ukwel au unataka hoja zetu sema moja 😂 Hoja unataka hoja gan... unaambiwa Quran haina Connection na uchawi we kazi kungangania oohh Quran sjui ukisoma sjui nn sa tunakuelweshaje we jamaa 😂😂 we umeamua we amua
  14. C

    JamiiForums Tanzania Sura za kurogea watu na kufanyia ushirikina

    😂😂 We kama sio Shiaa Ni Uliritadi , kwaiyo una chuki isiyo na kifani Broo.. M nakushaur ukwel huwa unajulikana na uongo unajulikana Huu muda unaupoteza kuandaa hivi vitu ungefocus na Life maisha magumu , Kama Dini ilikua tu inaanza na viongoz wa Macca wakat ule wakashindwa kui stop na ikaenea...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Sura za kurogea watu na kufanyia ushirikina

    😂😂😂😂 we jamaa kaz unayo.. huu uislam unaamka nao kila siku wenzako walifanya kuuangusha kwa silaha kubwa za kivita na wako wap leo na uislam uko wap 😂 We shawishi watu kwa uongo si hata hatukujibu we kama sio Shia basi muislam uliritad saiv mkrsto
Back
Top Bottom