Recent content by Captain 86

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ndugu Ahmed Omar, aliyewahi kuwa Msaidizi wa Maalim Seif Shariff Hamad na Juma Duni Haji na Wanachama wa ACT WAZALENDO wajiunga na CCM

    Usiwalaumu wao kama wananchi hawajitambui unategemea wafanye nini sasa?
  2. C

    JamiiForums Tanzania NSSF hata kama eneo la Vikunai mmepata mtu wa kumuuzia, ila si kwa unyama huu

    Kuna eneo la Vikunai ni kama bonde jirani na nyumba za NSSF, watu wameishi hapo kwa zaidi ya miaka 20, mwezi wa sita mwaka huu, ndipo tatizo lilianza, NSSF kusema ni eneo lao, kuwa hao ni wavamizi, hivyo wanatakiwa kuondoka, hasa wale waliojenga nyumba miaka ya karibuni. Na kweli nyumba zao...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Naingiza milion 22 kwa mwezi kwa biashara ya kuuza Mapapai shambani

    Hi Hii hesabu yako kila nikiipiga simu inaandika"Chai" kwa hesabu tu ya kawaida haiwezekani, yaani kwa siku unauza karibia papai 490!!hahaaaa
Back
Top Bottom