Recent content by capacity 0GB

  1. C

    GE2020 Kawe ina heshima tayari, inahitaji maendeleo

    Halima unayemtetea hajafanya lolote kwenye jimbo la Kawe, kaishia kugoma tu. Barabara za Mbezi Juu, Wazo na Madale hazipitiki. Hela za mfuko wa jimbo haifahamiki zimetumikaje... Mdee unamshabikia kwa mazuri yapi?
  2. C

    GE2020 Kawe ina heshima tayari, inahitaji maendeleo

    Gwajima ndo chaguo la Wanakawe. Mdee amefanya nini kwa miaka 10 kama sio migomo na kelele bungeni.
  3. C

    GE2020 Kawe ina heshima tayari, inahitaji maendeleo

    Ndo utajua Mdee hajui kama hajui. Watu wa Kawe wameishapanga kumstaafisha...
  4. C

    GE2020 Kawe ina heshima tayari, inahitaji maendeleo

    KAWE INA HESHIMA TAYARI, INAHITAJI MAENDELEO Je, ni kweli Kawe inahitaji heshima? Jimbo la Kawe ni moja kati ya majimbo muhimu sana hapa Dar es Salaam. Kule Masaki na Oysterbay wanakaa watu muhimu katika taifa. Mabalozi wengi wanakaa jimbo la Kawe. Vitengo muhimu kwa ustawi wa nchi viko...
  5. C

    Gwajima Unaikumbuka hii? Sasa nawe Ukikerwa utasemaje?

    Sasa hiyo na uhusiano gani na kuwaletea maendeleo watu wa Kawe? Watu wa Kawe wameishaamua kuachana na mzurulaji Mdee na kumchagua mchapakazi Gwajima.
  6. C

    GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Mdee ni tapeli watu wa Kawe muepukeni. 28 Octoba fanya maamuzi sahihi, mchague Gwajima anatosha.
  7. C

    Kinyozi wa kike apandisha mashetani na kuzimia baada ya kugusa kichwa cha askofu Gwajima, aombewa na kuzinduka!

    Sasa hapo nani nabii wa uongo wakati binti kapandisha mapepo mwenyewe.
  8. C

    GE2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

    Naona utakuwa umetembelea kata ya Kawe ambayo haiko Dar es Salaam. Aliyekataliwa waziwazi kwenye kata zote ni mgombea wa Chadema, Mdee. Gwajima anakubalika kwenye kata zote, kwa rika zote. Subiri Octoba 28 ndo utaona maamuzi ya watu wa jimbo la Kawe watakavyompa kura za kutosha Askofu Gwajima.
  9. C

    Nimemuota leo Askofu Gwajima naomba mnisaidie maana ya ndoto hii

    Basi tarehe 28 kajitokeze kabisa umpigie kura Gwaji ili awaletee maendeleo wana Kawe.
  10. C

    Nimemuota leo Askofu Gwajima naomba mnisaidie maana ya ndoto hii

    Basi tarehe 28 kajitokeze kabisa umpigie kura Gwaji ili awaletee maendeleo wana Kawe.
  11. C

    GE2020 Askofu Gwajima na ahadi ya kutupeleka USA

    Angeahidi mtu ambaye hajawahi kwenda USA au kufika Japan ingeonekana ni mambo ya kufikirika. Gwajima amekuwa Marekani na ana marafiki Marekani, amekuwa Japan na ana marafiki huko. Tatizo hapa ni kwa sababu nyie hamkuwahi kufika huko ndo maana mnaona haiwezekani.
  12. C

    Uchambuzi: Ugeni wa Gwajima na Makonda kwa Kardinali Pengo katika Ulimwengu wa kiroho unamaanisha tofauti kabisa na malengo yao

    Kama ni mfuatiliaji wa mambo utajua waziwazi kwamba Pengo na Makonda ndo walikuwa wamemkosea Gwajima. Gwajima alisimama kutetea haki wakati ambapo kila mtu alikuwa kimya. Sasa kwa sababu ya mtazamo wa wengi, hawaoni kama Pengo na Makonda walikosea. Kwa sababu Gwajima ana hekima sana, ameona tu...
  13. C

    Je, ni kweli Halima Mdee ametatua migogoro ya ardhi kwenye jimbo la Kawe?

    Aisee. Kumbe iko hivi. Ngoja nifuatilie ile ripoti ya Mdee ya utekelezaji wa ilani nione kama ni kweli...
  14. C

    GE2020 Gwajima awa gumzo kwenye mitaa ya Kawe

    Subiri muone mziki wake 28 Octoba, Mdee hatoboi.
  15. C

    GE2020 Gwajima awa gumzo kwenye mitaa ya Kawe

    ZIARA ZA GWAJIMA KWENYE MITAA NA KATA ZIMEONYESHA UDHAIFU MKUBWA WA HALIMA MDEE KATIKA KUWATUMIKIA WANANCHI. Kawe, Dar es Salaam. Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM ndugu Josephat Gwajima ameendelea na ziara zake kwenye mitaa na Kata za jimbo la Kawe ambapo amekua akishirikiana na wananchi...
Back
Top Bottom