Recent content by cannulla

  1. C

    Wataalam wa kutengeneza Local Cage za Kuku wa mayai

    Fafanua mkuu. Ka kuna changamoto umezikuta kwenya local cages tusaidie wadau
  2. C

    Nishaurini: Nina wasiwasi sana Mchepuko wangu anajiuza

    Tanzania tuu "Mume wa mtu anataka mchepuko uliotulia"
  3. C

    Zitambue fursa za kiuchumi katika Mkoa wa Njombe

    " Njombe peleka pesa na sio kuchukua pesa, wenyeji bado hawaamin kununua kwa mtu asie kabila lao" Peleka pesa kanunue viazi, mbao , mapori. Lakini sio wao wakupe wewe pesa kupitia biashara utakayoanzisha. Naongea kwa uzoefu.
  4. C

    Hii imekaaje watu wa mitazamo ya mbali, uwekeze Mil. 330,000,000 upate Mil. 27,500,000 kwa mwaka?

    Mkuu UTT -AMIS, unaweza itumia pesa yako kama dhaman bank kama ilivyo T-bonds?
  5. C

    SoC01 Suluhu ya kutumia takangumu kama mbolea asilia

    Asante Nimependa zaidi hii ya used tyres na bidhaa zake. Naomba msaada ufutao 1. Kutembelea plant yenu ya bidhaa za plastic waste inayotoa diesel 2. Soko la hizo product zingine 3. Mashine ya kuanzia naipata wap, nahitaji urgently nafunga mkoan, gharama yake PM yako imefungwa mkuu inagoma...
  6. C

    SoC01 Suluhu ya kutumia takangumu kama mbolea asilia

    Gharama ya uwekezaji huu ni kiasi gan mkuu?
  7. C

    Wazo la biashara kwa 100m

    Unafanyaje hii mkuu
  8. C

    Naomba ushauri wa biashara ya malori

    Mktaba wenu 1. Niliona umetaman trailer ya super single, je airbag ikipasuka gari inaingia mizan nani analipa? 2. Tyres iki burst nan analipa, kawaida kwa super single 3. Service ya trailer , imekatika sehemu inahitaji kuchomw nan analipa? Ukiona hayo maswali majibu yana ukakasi Unga unga...
  9. C

    Naomba ushauri wa biashara ya malori

    Mtaani scania engine isiyotumia pump tunaziita cummins. Wauza vipuri pia imezoeleka hivyo.
  10. C

    Naomba ushauri wa biashara ya malori

    Nimemaanisha Cummins,
  11. C

    Naomba ushauri wa biashara ya malori

    TATA unapewa gari mpya, spare wanauza wao.
  12. C

    Naomba ushauri wa biashara ya malori

    164 haina umeme mwingi, shida kubwa huwez para right hand , nyingi zinatoka ylaya ya kati wanatumia left hand.
  13. C

    Naomba ushauri wa biashara ya malori

    124 , 420 mwaka 1999 hadi 2001 cummis engine , utafurahi, unaweza jaribu na V8 164 ama R500 kwa kazi za kiume zina fanya vyema sana.
  14. C

    Naomba ushauri wa biashara ya malori

    "Kila unachokiona mbele yako kilishawahi kuwa kwenye truck" Umeamua vyema kuwaza biashara hii. Niongeze kidogo Kuliko kununua gari used budget yako inatosha kuwapa TATA wakakupa gari mpya kwa 35m na trailer ukiunga unga utapata kwa 30m double tyres. Super single ina changamoto nyingi sana...
Back
Top Bottom