Habari wakuu nina changamoto ya kufanya malipo aliexpress leo siku ya 5 nmejaribu hata kutumia account ya jamaangu bado nimejaribu kutumia visa card ya voda wap nmejarbu kuwasiliana na benk husika kuona kama kuna tatizo wamenambia wao hakuna tatizo nmewachek aliexpress pia na wao vivyo hvyo...
Ninachojua mimi ccm wanatumia kila mbinu kuwakusanya watu hasa kuwepo kwa wasanii kunaisaidia sana kupata audience na kufikisha ujumbe wao
Lakini kwa upande mwingine ccm ndo cha mama lazima kitakua na watu wengi nakutokana na mdororo wa uhuru wa vyama pinzani ni lazima kutakua na wanachama wengi...
Hii kwa sasa imekua kero kubwa hata huku mbarali mbeya waIri wa ardhi apikuja na kuwataka wananchi wahame maeneo yao wanayoishi wakidai wamevamia eneo lahifadhi wakati eneo hili ni la babu na bibi zetu tangu mwaka 74 uko lkn leo mtu anakuja kuwafukuza tena akiwaita wavamizi daah inasikitisha sana
Habari za muda huu wakubwal!!
Naomba kupata ushauri kidg
Kama ninahitaji kuwa na
biashara & huduma ifuatayo ninahitaji mtaji kiasi gani (kiasi cha chini kabisa).
Kuuza vifaa vya simuu
(Betry earphone memory card n.k)
Ufundi simu na redio
Vifaa vya umeme wa sola (location
hakuna umeme ni solar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.