Recent content by Camo

  1. Camo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Against the Gospel of Modern Love

    Kuna ukweli ambao hautasomwa kwenye vitabu vya elite, hautaandikwa kwenye mitandao ya kifeminist au kwenye mafunzo ya “modern relationships.” Ukweli huu hujificha nyuma ya tabasamu la mwanzo, ule wakati wa mapenzi ya ujinga, pale kila kitu kinaonekana rahisi, kila kosa linaweza kufichwa kwa...
  2. Camo

    JamiiForums Tanzania Utii Ulikuwa Njia ya Kuishi, Mpaka Pale Alipokua C.E.O Kisha Kuua Kampuni - Biograph ya Tedi

    Alizaliwa kwenye familia ambayo haikuamini katika mazungumzo, haikuamini katika kuelewana, haikuamini katika maoni mbadala. Bali heshima ni utii usiohoji, na upendo ni zawadi inayotolewa tu kwa wale wanaofuata mstari. Baba alikuwa mwepesi wa hasira, mzito wa kusikiliza. Kosa dogo lilimaanisha...
  3. Camo

    JamiiForums Tanzania Wewe ni mchezaji kwenye mchezo wao – na wakimaliza kukutumia, wanauza hadithi yako kama ushuhuda

    Amen boss, hakika usiache kuchapa uzi huo
  4. Camo

    JamiiForums Tanzania Kabla hujapewa chako, tumikia cha mtu mwingine kana kwamba ni chako

    Barikiwa sana chief.
  5. Camo

    JamiiForums Tanzania Kabla hujapewa chako, tumikia cha mtu mwingine kana kwamba ni chako

    Asee Dada munene abadilike mara moja tafadhali kama ataiona hii.
  6. Camo

    JamiiForums Tanzania Kabla hujapewa chako, tumikia cha mtu mwingine kana kwamba ni chako

    Ujasiriamali si jina la kampuni, si cheo au mtaji mkubwa unaoonekana kwa macho. Ujasiriamali ni mtazamo wa moyo, ni tabia ya akili, ni mabadiliko ya roho ndani ya mwili wa mtu aliyeko kazini lakini anayefikiri na kutenda kama mmiliki. Kuna watu wanatembea kazini kila asubuhi kama watalii kwenye...
  7. Camo

  8. Camo

    JamiiForums Tanzania Kabla hujapewa chako, tumikia cha mtu mwingine kana kwamba ni chako

    ......................Ni sawa na kusema kua Mjasiriamali Hata Ukiwa Mfanyakazi. Ujasiriamali si jina la kampuni, si cheo au mtaji mkubwa unaoonekana kwa macho. Ujasiriamali ni mtazamo wa moyo, ni tabia ya akili, ni mabadiliko ya roho ndani ya mwili wa mtu aliyeko kazini lakini anayefikiri na...
  9. Camo

    JamiiForums Tanzania Wewe ni mchezaji kwenye mchezo wao – na wakimaliza kukutumia, wanauza hadithi yako kama ushuhuda

    Nilipoangalia mfululizo/series hizi – The Godfather. Game of Thrones. Breaking Bad. Ozark. Snowfall. Narcos. Better Call Saul – nilikuwa natafuta burudani. Lakini niliyokutana nayo ni ukweli uliovikwa mavazi ya maigizo. Kuna dunia tunayoiishi, na kuna dunia inayotuendesha. Si dunia ya ardhi...
  10. Camo

    JamiiForums Tanzania Tutajenga Historia au Tutarithi Hofu? Wito kwa Matajiri wa Tanzania

    Chief ungependa kupata uelewa katika muktadha upi, kama mwekezaji angependelea kuwekeza kwenye startup au kama mtu anayetafuta mtaji wa startup yake?
  11. Camo

    JamiiForums Tanzania Tutajenga Historia au Tutarithi Hofu? Wito kwa Matajiri wa Tanzania

    Salaam, mara nyingi nimekuwa mpenzi mtazamaji hapa JF, leo nkaona nidondoshe uzi kwa mara ya kwanza, nilipotaka weka uzi platform ikanitaka niwe a registered member basi nikafanya hivyo nakusubiri approval na siku ya leo ndio my JF ac imekua approved. Direct to the topic. Tanzania na Afrika kwa...
Back
Top Bottom