Recent content by Cammaraderie

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

    Adilimia 99.999% uko sahihi, bk kama siyo Mhaya hata chakula (ndizi samaki) hotelini hupati
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

    Inawezekana aliyemwandalia hotuba hii ana lake jambo, lakini Maprofesa wote wa Muhimbili na hata wanachuo wao ambao ni vipanga yaani wote wameshindwa hata kwa pamoja kumsaidia waziri wao asiadhirike jamaniii?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Taratibu za utumishi wa umma zinaruhusu mwalimu kufanya biashara darasani kwa wanafunzi anaowafundisha?

    Akawarudishe wanawe kwa bibi yao Rukwa kule wakale makande asubuhi, pengine maandazi hajazoea.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Taratibu za utumishi wa umma zinaruhusu mwalimu kufanya biashara darasani kwa wanafunzi anaowafundisha?

    KUna mtu aliwahisema "kila mbuzi ile kwa urefu wa kamba yake" kamba ya mwl inafika darasani
  5. C

    JamiiForums Tanzania 4R ni wazo la nani? Limetoka wapi?

    Phylosophical
Back
Top Bottom