Time wil tell, acha ndani ya wiki mbili tuu..
Tutajua white and black.....
Izi mambo za vita kwasasa propaganda hua nyingi sana .
N.B kumbuka urusi iliahidi vita ni wiki mbili tuu, sasa tunaenda mwaka wa ngapi..???
Shida ni hao watusi wanajikubali kua ni wakongo au bado wanajinasibu kua ni warwanda...
Mfano mmasai au mjaluo wa Tz atabaku kua mtz na mkenya anakubali kua ni mkenya..
Shida ya hao watusi unaowatetea hua wanajitia uspecial sana na pia hawakubali kua ni raia wa nchi hiyi wanaishi, sasa kama...
Habari wakuu..
Naombeni msaada naona nina allergy na manukato (perfumes & body spray), zinanipa mafua makali sana..
Na hii sio nikipulizia mimi tuu hapana, hata nikikaa na mtu alojipulizia basi ni tafrani, mafua hayaishi..
Sasa ofisini plus mitaani humu kwenye vikao vya bia ni ngumu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.