Recent content by Cambri

  1. C

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu CWT agoma kurudi Temeke kufundisha

    Chezea Mshahara wake wa milioni 7 kwa mwezi, V8 VX aliyonunua katakana na makato ya Walimu kila Mwezi, anajilipa Honoraria hata milioni 10 akitakq, bado za safari za nje ya nchi kwa gharama za michango ya Walimu. JE WEWE UNAWEZA KUACHA HAYO MAOKOTO WAKATI WALIMU WAMERITHIKA ATUMIE FEDHA ZAO...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Japhet Maganga wa CWT hafukuziki? Jibu hili hapa

    Kwa Maokoto hayo unamfukuzaje. Waalimu acheni hela zenu zipigwe mtapewa T shirt siku ya Maadhimisho ya Mwalimu Duniani
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wajumbe 18 wa CWT kukiona cha Moto

    Hakika walimu wanapigwa sana fedha yao inatafunwa wanaambulia T shirt na kofia za Mei Mosi
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wajumbe 18 wa CWT kukiona cha Moto

    P
  5. C

    JamiiForums Tanzania Dkt. Msonde alistahili kuondolewa Baraza la Mitihani (NECTA)

    Amebadili mazingira
  6. C

    JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Nani kumrithi Dkt. Msonde NECTA?

    Tunamtakia kila la kheri
  7. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Ma-DED chanzo wanawake kupigana ofisini

    Hao wanatakiwa kufundwa sana
  8. C

    JamiiForums Tanzania RC Anthony Mtaka ana sifa gani spesheli?

    Mh RC Mtaka hakuelewa ile semina Elekezi ya iliyotolewa kwa Wakuu wa Mikoa labda awekwe kambini ili aelewe vizuri!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako hana kosa lolote anahukumiwa kimakosa

    Mh RC Mtaka hakuelewa ile semina Elekezi ya iliyotolewa kwa Wakuu wa Mikoa labda awekwe kambini ili aelewe vizuri!
  10. C

    JamiiForums Tanzania Anthony Mtaka VS Waziri wa Elimu ni matokeo ya ombwe la Katiba ya sasa katika ugatuzi wa madaraka

    Huyu RC shida sana ameshapoteza mwelekeo mapemaaaaaa. Yaani kabla Jogoo jajawika ameshajikana Nimesoma na kupokea maoni,ushauri na kila aina ya hisia ambazo naamini ni kwa upendo juu ya Clip yangu kuhusu kambi za Kitaaluma nilipokuwa nikizungumza na wananchi wetu katika tafsiri yoyote ile...
  11. C

    JamiiForums Tanzania RC Antony Mtaka kumsema Waziri mbele watoto umekosea. Kama watoto wakimdharau, watamheshimu nani?

    Sasa mbona Kaufyata ??? Nimesoma na kupokea maoni,ushauri na kila aina ya hisia ambazo naamini ni kwa upendo juu ya Clip yangu kuhusu kambi za Kitaaluma nilipokuwa nikizungumza na wananchi wetu katika tafsiri yoyote ile naomba Radhi kwa wote waliokwazika ,wananchi na Viongozi wenzangu hasa pale...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu kama kazi imemshinda ajiuzulu, walimu shule binafsi wanalipwa mishahara finyu na hasemi chochote

    Mkuu huyu asikusumbue. Inawezekana yeye anajua akimwaga upupu wake hapa Jamvini ndiyo atapata maslahi yake. Acha aanzishe thread kutwa mara tatu awe anarusha lawama kwa watu wasiohusika inawezekana akipiga dozi hiyo kwa siku saba ataona ... mara pwaaaa, maslahi yake yamepanda
  13. C

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu kama kazi imemshinda ajiuzulu, walimu shule binafsi wanalipwa mishahara finyu na hasemi chochote

    Ama kweli Jukwaa limevamiwa. Yaani huyu hajui kama kuna Wizara inashughulika na kazi na masuala ya watumishi? Kazi ya Vyama vya wafanyakazi ni nini? Mhe Rais wakati wa Mei Mosi aliwataka wafanyakazi kwenye sekta binafsi kutoa taarifa kwa mamlaka husika kama wana changamoto zozote ili hatua...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ajira 6,000 za walimu zagubikwa na utapeli. Waziri Ummy amuagiza Katibu Mkuu kufanya uchunguzi

    Piga kazi mama ondoa utapeli kwenye ajira
  15. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Kigezo kikubwa ambacho tutakitumia kuajiri walimu ni wale wanaojitolea. Alalamikia barua feki

    Bora wakumbukwe wazalendo wanaojitolea
Back
Top Bottom