Recent content by CAMANGA

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nimeshusha bei tena Honda Ace 150

    Nimesha uza , Mungu alikuwa upande wangu Tena Kwa Bei nje ambayo sikutegemea , Mungu ni mwema Kwa kweli
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nimeshusha bei tena Honda Ace 150

    Nahisi msimu mkuu watu umewakalia vibaya, nimejaribu watumishi baadhi Bado Hali tete
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nimeshusha bei tena Honda Ace 150

    Nahitaji cash ya haraka boss
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nimeshusha bei tena Honda Ace 150

    Boss nahitaji cash ya haraka
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nimeshusha bei tena Honda Ace 150

    NAIUZA sababu ya changamoto binafsi mkuu
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nimeshusha bei tena Honda Ace 150

    Mkuu nimepunguza sana hata hivo nimeamu tu Bora nijipange upya
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nimeshusha bei tena Honda Ace 150

    Mkuu shida nipo pembezoni na platform ya kutoa matangazo ndo changamoto watu
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nimeshusha bei tena Honda Ace 150

  9. C

    Mkuu nimetangaza kote mkuu ila naona watu uchumi changa
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nimeshusha bei tena Honda Ace 150

    Changamoto za maisha mkuu
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nimeshusha bei tena Honda Ace 150

    Nipeni 2.5m bila discount wakuu niwe nimekula hasara ya 1.1m ndani ya mwezi Pikipiki ni Honda ace 150, cc150 Ipo Mbarali mbeya Pikipiki ni mpya namba yake ni FRD.... Imetembea jumla kilometa 380 Nzuri Kwa kufanya boda, maeneo yenye Barabara mbovu ,matumizi binafsi, kubeba mizigo mizito n.k...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Hatimaye NAUZA kwa Bei ya kutupa nipeni 2.8m Honda ace 150 mpya

    Bado haijauzwa please check me
  13. C

    JamiiForums Tanzania Hatimaye NAUZA kwa Bei ya kutupa nipeni 2.8m Honda ace 150 mpya

    Bei ya dukani mkuu hapo nimeshuka 800k nzima
  14. C

    JamiiForums Tanzania Hatimaye NAUZA kwa Bei ya kutupa nipeni 2.8m Honda ace 150 mpya

    Nitafute 0789088982 mkuu tuzungumze
  15. C

    JamiiForums Tanzania Hatimaye NAUZA kwa Bei ya kutupa nipeni 2.8m Honda ace 150 mpya

    Kweli mkuu
Back
Top Bottom