JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi anatangaza nafasi za kazi zifuatazo katika Idara ya Uhamiaji kwa Raia wote wa Tanzania wenye sifa.
1. KOPLO WA UHAMIAJI Nafasi 114 - (Nafasi 100 kwa ajili...
Habari za saa hizi ndugu zangu?samahanini naomba kuuliza kwa anayefahamu.
MIMI nimemaliza DIPLOMA ya ict katika chuo flani ivi cha serikali na kufaulu kwa G.P.A ya 4.0. wakati niko kidato cha sita nilisoma PCB na kupata division 3 ya point 15 lakini nikakosa credit moja ,Hivyo ikanilazimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.