Recent content by Caludji

  1. C

    Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku?

    Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku? Michango yenu nitaishukuru sana tu.
  2. C

    Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

    Wenye Ubongo mzuri tunakuelewa sana Mkuu na tunazielewa mno Hoja zako tofauti na Fools wengi Wasiokuelewa na Wanaokushambulia.
  3. C

    Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

    Heshimu Maoni ya Wenzako kama ambavyo yako yanaheshimiwa. You must be a Psychopath Case nakushauri wahi Hospitali ukatibiwe kabla hali haijawa mbaya Kwako. Zingatia sana huu Ushauri wangu tafadhali.
  4. C

    Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

    Kama kuna post ambayo ilitakiwa ipate Likes nyingi katika Uzi huu ni hii yako Mkuu kwani Umeandika Ukweli mtupu ila kutokana na Unafiki wetu tunajifanya kama hatujakuelewa. Binafsi nimekuelewa vyema kabisa na nakubaliana nawe kabisa.
  5. C

    Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

    Yawezekana ukawa na tatizo Kubwa la Ugonjwa wa Akili ila bado hujaligundua au Watu wako wa karibu hawajakugundua. Tafuta Tiba ya haraka uweze Kupona tafadhali.
  6. C

    Wakuu wa Wilaya hawana vitambulisho, au kuvaa badge ya Rais ndio utambulisho wao?

    Nafurahi sana jinsi Wanasiasa wa Tanzania wanavyotufanya Wapumbavu na kila Uchao tu wanacheza na Akili zetu huku na Sisi kwa Uzuzu Wetu bado tu tunaendelea Kuwafuatilia na Kuwaamini.
  7. C

    Sitarajii Polepole kuapishwa kesho, ukibisha ungana na timu wahuni

    Sitarajii kusikia au kuona ukikataa Uteuzi au kwenda Kuapishwa na Mamlaka. Najua unayoyapitia na Machungu uliyonayo hasa baada ya Kutupwa ila Usigome. Mamlaka huwa haibishiwi hata kama huipendi na una Bifu nayo ila yakupasa Kuitii. Yanayokutokea sasa ni Matokeo ya Unafiki wako, Jeuri yako na...
  8. C

    Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

    Ogopa sana ukiwa Mvivu wa Kufikiri halafu akajitokeza Muhuni kutaka Kukusaidia nawe ukamkubalia lazima atakuponza na hata Kukupoteza pia.
  9. C

    Kuna haja ya Kusheherekea mwaka Mmoja wa Kifo cha Hayati Rais Dkt. Magufuli wakati nasi kwa mwaka Mmoja tumeenda Kinyume na aliyoyaacha?

    1. Tumeanza kujikomba kwa Wazungu 2. Tumeanza kukopa Kiholela 3. Tumeanza kushirikiana na Mafisadi 4. Tumeanza kuwateua na kuwarudisha Uongozini wale Walioiharibu nchi 5. Dodoma Makao Makuu ya nchi tunakaa Siku 3 tu ila Dar es Salaam, Zanzibar na Angani katika Ndege tunakaa hata Siku 90 6...
  10. C

    Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

    Wala huhitaji Akili kubwa kujua kuwa Teuzi hizi zina Baraka na Maelekezo yote kutoka Msoga Chalinze. Baada ya Kumteua Mwanae Ardhi sasa ameteuliwa mwana Mtandao mwingine hapo NHC ili Chemistry ya Upigaji na kuhakikisha Miradi muhimu ya Mstaafu inaenda kama alivyoipanga. Nina neno moja tu kwa...
Back
Top Bottom