Recent content by CalifNice

  1. CalifNice

    INAUZWA Fridge (recondition) safi kutoka Marekani

    Kidude sio laki3 kinalipiwa ata mil3
  2. CalifNice

    INAUZWA Fridge (recondition) safi kutoka Marekani

    Ningetangaza kibuyu chabpombe ungenunua ata Kama watoto wanalala njaa kwako
  3. CalifNice

    INAUZWA Fridge (recondition) safi kutoka Marekani

    Was Washamba hawahudiki tunatak watej wanaojitambua tu
  4. CalifNice

    INAUZWA Fridge (recondition) safi kutoka Marekani

    Kama unalitaka piga sim mkuu
  5. CalifNice

    INAUZWA Fridge (recondition) safi kutoka Marekani

    1 to 2kWh in 24 hours
  6. CalifNice

    INAUZWA Fridge (recondition) safi kutoka Marekani

    Kwa yeyote mwenye kuhitaji Fridge yenye nafasi kubwa ya kuweka vitu na uwezo mkubwa wa kuhifadhi vitu kwa matumizi nafuu ya umeme basi anitafute kupitia namba hii 0673 17 5000 Bei yake ni Tsh 850,000 Napatikana Kigamboni Dar es Salaam
  7. CalifNice

    Sakata la BANDARI ZETU na DPW linataka kuliingiza Taifa kwenye umwagaji wa damu!?

    Iuzwe tu sisi tunataka hela tu na mama nae tunamuamini ni MLEZI wetu mwema Kelele za Nini
  8. CalifNice

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Zanzibar - kina ukubwa wa mita mraba 800

    Jamani hii ni biashara meenye vigezo ajitokeze
  9. CalifNice

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Zanzibar - kina ukubwa wa mita mraba 800

    Kwel kisheria sijui Ila fuatilia mwenyew ujue hii ni biashara inatangazea
  10. CalifNice

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Zanzibar - kina ukubwa wa mita mraba 800

    Kiwanja kipo eneo la Chonga wilalya ya Chake chake Kina ukubwa sqm 850 Kipo mita 30 kutoka barabara kuu *Kiwanja kipo karibu msikiti na hospital ya Chonga Umeme ushafika hauhitaji nguzo Madrasa ya Qurani yapo hapohapo Kuna miti (3) ya mikungu, mshelisheli (1) na muembe ng'ongo (1) Bei Tsh...
  11. CalifNice

    Msaada wa camera

    Ndio Ndio za video za George Floyd killing
  12. CalifNice

    Msaada wa camera

    Ili nisisumbuke na kutafuta appa and features
  13. CalifNice

    Msaada wa camera

    Una u Una uhakika mkuu
Back
Top Bottom