Recent content by CAG wa buza

  1. C

    JamiiForums Tanzania Shtuka

    Ukiona demu wako anawasiliana na Ex wake bro shituka, unapigiwa hapo[emoji23][emoji23].
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Become Better Version of yourself

    Huwezi kuwakamata vipepeo kwa kuwakimbiza,wewe tengeneza bustani yako watakuja wenyew tu. Jijenge mwenyewe kwanza,Chase your dreams, jiweke fresh watakuja tuu. Women Love- conditional. Men love - Unconditional.
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume acheni tabia za kutupiga makofi kwenye makalio wakati wa kufanya mapenzi

    Dooooh[emoji41][emoji41]
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya wanawake na wanaume nani wanaongoza kutangaza madhaifu ya wenzao?

    Wanawake wana hatari
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Learn the Subtitle

    Hakuna anayeachwa ghafla, hakuna asiyejua kuwa hapendwi ila bahati mbaya sana kwetu, tunaziheshimu zaidi hisia zetu kuliko ishara zao kwetu. Ukipendwa hutotumia nguvu, usipopendwa utatumia sana nguvu! Iko wazi, heshimu ISHARA
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Wanaume kuwapa pesa wanawake haikuwa shida tangu zamani, ilikuwa ni kawaida. Shida imeanza wanapodhani pesa ni haki yao, wanawake wameacha kuwa na aibu, Mademu hawaogopi kuomba pesa tena na pia mademu wanafikiri wanaume wanaowapa pesa sana ni wajinga. So sad!!.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Unamjibuje akikuuliza umepata wapi namba yangu?

    Hii nmeichukua
  8. C

    JamiiForums Tanzania Unamjibuje akikuuliza umepata wapi namba yangu?

    Akikuulza" Namba yangu umepata wapi?" Unajibu vipi km mwanaume ambaye hutaki kumchoma aliyekupa namba?
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Conversation with a stranger

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Reminder for men

    Eeeeh vijana tunashindwa kuelewa kisa mihemko yetuu
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Reminder for men

    Usiseme mwanamke fulani ni mgumu. Anafanya vitu kuwa vigumu coz hayupo interested na wewe. Zigundue ishara mapema then move on.
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Conversation with a stranger

    Ukikutana na mwanamke"stranger" kwenye bus or wherever halaf ukawa unatamani kupata namba yake lakini unashindwa namna ya kuanza mazungumzo, wewe mwambie tu "YOU SMELL GOOD" akijibu thanks endelea "I WISH I COULD BE THE REASON FOR" Then continues
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kulalamika ni ishara ya Upendo

    Na ukiona unaeza mnyamazia mpenzi wako na asikulalamikie kwanini umemkalia kimya ujue ANAE MPENZI wake ambae SIO WEWE. Kulalamika ni ishara ya kujali, kujali ni matokeo ya upendo, kama mwenzi wako anakulalamikia manake anajali kuhusu matendo yako na hiyo ni sababu ANAKUPENDA.
Back
Top Bottom